Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kizimbani kwa kumkata mkono albino

NA WALTER MGULUCHUMA, KATAVI
WATU wanane wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kujibu shitaka la kumjeruhi kwa mapanga na kisha kumkata mkono Lemi Luchumi (30) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino), mkazi wa Mwamachoma, Tarafa ya Mamba, Wilaya ya Mlele na kisha kutokomea nao.
Watuhumiwa hao waliopandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Odira Amworo ni Alex Manyanza (24), Nogele Maliganya, Galula Nkuba (45), Shile...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanane kortini kwa kumkata albino mkono

WATU wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwa kumkata mkono wa kulia, Remi Luchoma (30) mwenye ulemavu wa ngozi, kisha kutokomea na mkono huo kusikojulikana.

 

11 years ago

Habarileo

Askari TPA wadaiwa kumkata mtu mkono

ASKARI wawili wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Jonas Bakari (25) na Hashim Salum (43) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumkata mtu mkono.

 

10 years ago

Habarileo

Kortini kwa kukata mkono wa albino, kuua mume

WATU watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Igunga na kusomewa mashitaka ya kukata mkono wa mlemavu wa ngozi na kisha kumuua mumewe.

 

11 years ago

Mwananchi

Jela kwa kumkata mkewe kiganja

>Mahakama ya Wilaya ya Geita jana ilimtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka mitano jela Musa Lutobeka (30) baada ya kupatikana na hatia ya kumkata mkewe kiganja cha mkono wa kushoto na kumsababishia ulemavu wa kudumu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kumkata kichwa mpenzi wake

Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza na kufungwa maisha jela

 

10 years ago

Habarileo

Albino mwingine akatwa mkono

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMWANAMKE mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Remi Luchoma (30), mkazi wa kijiji cha Mwamachoma kata ya Mamba wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi, amekatwa mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana, kisha wakatokomea na kiganja cha mkono huo kusikojulikana.

 

10 years ago

Habarileo

Adaiwa kukata mkono wa binti albino

MKAZI wa Kata ya Usinge, Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, John Fumbuka, amefikishwa mahakamani kwa mashitaka ya kujaribu kumuua binti wa miaka 15 ambaye ni albino.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mwingine Albino akatwa mkono

Matukio ya ukatili ddhidi ya albino yanaendelea kuwa tishio nchini Tanzania baada ya mtoto wa miaka sita kukatwa kiganja cha mkono

 

11 years ago

Mwananchi

Jirani mbaroni kusaidia albino kukatwa mkono

>Mganga mmoja wa kienyeji na jirani wa binti, Pendo Sengerema (15), anashikiliwa na polisi kwa kuwaonyesha wahalifu anakoishi mtoto huyo mwenye ulemavu wa ngozi (albino), ambao walimkata mkono na kuondoka nao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani