Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAMILIA KUFA AJALINI ‘KUNA MKONO WA MTU!'

Stori: Na mwandishi wetu BADO ni kilio! Bado ni simanzi katika Kijiji cha Marangu, Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro kufuatia vifo vya wanafamilia watatu, Elimringi Minja, 60 (baba), Tudetsiwe Sanga, 48 (mke) na mtoto wao, Haikaeli John (10).
Watatu hao maisha yao yalikatishwa kwenye ajali ya Basi la Metro iliyotokea Septemba 15, mwaka huu katika eneo la Manga, Handeni mkoani Tanga na hivyo kuiacha nyumba yao katika ukimya wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KUNA AFADHALI UKIMFUMANIA MUMEO NA DEMU MZURI KULIKO ANAYEPAKA WANJA WA 'SINA BWANA' -2

MPENDWA msomaji, wiki iliyopita katika mada yetu ya Kuna afadhali ya kumfumania mumeo na demu mzuri kuliko anayepaka wanja wa ‘sina bwana?’ tuliishia kwa simulizi ya dada Mwanaidi Mkwazu, mkazi wa jijini Dar ambaye alisema kwa upande wake iliwahi kumtokea alimfumania mume wake akiwa na demu bomba. TUJIKUMBUSHE
“Nilipenda awe amenizidi maana kama nitakuwa nimemzidi nitamshangaa sana mume wangu. Kufika kweli...

 

10 years ago

GPL

THE KADASHIANS: FAMILIA 'TATA' LAKINI MAARUFU ZAIDI

Familia ya akina Kardashian. FAMILIA ya akina Kardashian inatajwa kuwa ni moja ya familia yenye mastaa wengi ndani yake kwa sasa huku skendo ndiyo njia pekee inayodaiwa kuipelekea familia hiyo kuwa maarufu zaidi huku mwanadada mrembo Kim Kardashian akiwa ndiyo alama ya familia hiyo. Robert Jr. HISTORIA YAKE Familia hii inaanzia kwa mwanamama Kris na mumewe Robert Kardashian ambao walioana mwaka 1978 na wawili hao wakazaa watoto...

 

10 years ago

GPL

AZAM FC YAIPIGA 'MKONO' MTIBWA SUGAR

TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi mnono wa mabao matano 'mkono' dhidi ya mawili yaliyofungwa na Mtibwa katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam jioni hii. Mabao ya Azam yamefungwa na Didier Kavumbagu aliyetupia mawili pamoja na Frank Domayo ambaye naye amefunga mawili huku bao la mwisho likiwekwa kimiani na Kipre Tchetche. Mabao mawili ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Musa...

 

10 years ago

GPL

ARSENAL YAICHAPA 'MKONO' ASTON VILLA

Mesut Ozil akiifungia Arsenal bao la pili dakika ya 56. Theo Walcott  akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 63.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE 'SHISHI BABY'

Staa wa Filamu na Muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' akifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake katika Exclusive interview na Global TV Online! UNGANA NASI.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA SNURA MUSHI 'MAMAA MAJANGA' - PART II

Mwangalie na kumsikiliza msanii mahiri anayefanya vizuri katika muziki nchini Tanzania, Snura Mushi 'Mamaa Majanga' alipolonga na Global TV Online kupitia kipindi chake pendwa cha Mtu Kati. Ungana…

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE: ADEBAYOR KUMWAGA 'UBUYU' MWINGINE WA MDOGO WAKE ROTIMI

Adebayor ametupia picha hii Facebook na kuahidi kutoa sehemu ya 2 ya stori ya kaka yake Rotimi. SAKATA la straika wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor na familia yake limechukua sura mpya ambapo staa huyo ameahidi kutoa sehemu ya pili ya stori 'ubuyu' mwingine kuhusu kaka yake mwingine aitwaye Rotimi Adebayor muda muafaka ukifika. Adebayor ameahidi kutoa ubuyu huo ikiwa ni siku chache tangu aachie waraka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wa familia moja wafa ajalini

WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima:Siogopi mtu wala kufa

IMG_2845Na Asifiwe George,Dar es Salaam
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,amesema haogopi mtu yeyote wala kufa bali ataendelea kuinyoosha nchi anapoona haiendi sawa.
Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana,wakati wa mahubiri yaliyofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe.
Alisema uhusiano wake na watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa utaendelea kubaki palepele.
Kwa mujibu Askofu Gwajima, baadhi ya watu wamekuwa wakimhusisha kuwa na urafiki na Waziri Mkuu wa zamani, Edward...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani