Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani wanane Bukoba wagonga mwamba kortini

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Kagera, imewataka madiwani wanane waliofunguliwa kesi ya kupoteza sifa kuwasilisha hoja mpya za utetezi baada ya mahakama hiyo kutamka kuwa ina mamlaka kisheria kusikiliza shauri lao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Ndugu washtakiwa ugaidi wagonga mwamba

MAHAKAMA Kuu ya Vuga mjini hapa, imetupilia mbali ombi la dharura lililofunguliwa na jamaa wa watuhumiwa wanaoshitakiwa kwa makosa ya ugaidi katika mahakama za Tanzania Bara. Akisoma uamuzi huo, Jaji...

 

10 years ago

Habarileo

Wanane kortini kwa kumkata albino mkono

WATU wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwa kumkata mkono wa kulia, Remi Luchoma (30) mwenye ulemavu wa ngozi, kisha kutokomea na mkono huo kusikojulikana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Bukoba wamkamia Amani

MADIWANI wa Manispaa ya Bukoba, wamemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa manispaa hiyo, kuitisha kikao ndani ya siku saba ili wampigie kura ya kutokuwa na imani na aliyekuwa meya, Dk. Anatory Amani....

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa kunufaika mgogoro wa madiwani Bukoba

>Athari za mgogoro wa kisiasa katika Manispaa ya Bukoba huenda zikaanza kuonekana katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Desemba 14, mwaka huu baada ya vyama vya upinzani kugawana maeneo ili kutumia mpasuko ndani ya CCM kushinda viti vingi.

 

11 years ago

Habarileo

RC ataka madiwani wa Bukoba kumaliza tofauti

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe amewashauri madiwani wa Manispaa ya Bukoba kuondoa tofauti zao na kukaa pamoja kutengeneza mipango ya maendeleo ya wananchi wao.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais CCM wagonga 40

Dodoma/Dar. Mtafiti binafsi na kada wa CCM, Helena Elinawinga (41), amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake kuwania urais na kusema amefikia uamuzi huo ili kupunguza kujirudiarudia kwa adhabu za vifo kwa viongozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wagonga Nyundo wa Keko wamponza Sure Boy Azam

KIUNGO mahiri wa Azam FC ‘Wanalambalamba’, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ ameingia matatani na viongozi wake baada ya kudaiwa kucheza ‘ndondo’ kwenye Uwanja wa Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam. Benchi...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA LEO! WASANII WA ORIGINAL COMEDY WAFUNIKA MJINI BUKOBA!

Mpoki(kulia) akitamba!!Wasanii wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9, 2014. Nani zaidi??Mwana-FA akiimba mbele ya umati wa wakazi wa Bukoba leo kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika leo Jumapili jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kiingilio ilikuwa ni wewe kuvaa uhusika wa Tigo!!Mwana-FAKwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani