Ukawa kunufaika mgogoro wa madiwani Bukoba
>Athari za mgogoro wa kisiasa katika Manispaa ya Bukoba huenda zikaanza kuonekana katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Desemba 14, mwaka huu baada ya vyama vya upinzani kugawana maeneo ili kutumia mpasuko ndani ya CCM kushinda viti vingi.
Mwananchi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania