SERIKALI YARAHISISHA UPATIKANAJI WA MAJI BUKOBA, KAYA ZAIDI YA 18,103 SASA KUNUFAIKA

Mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawiro akizungumza na wananchi wa mtaa wa Kisindi waliojitokeza katika uzinduzi wa vilula vya maji, leo.
Na Allawi Kaboyo, Bukoba
Kaya Zaidi ya 18,103 zenye wakazi wapatao 90,517 Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera zinatarajia kunufaika na upanuzi wa mtandao wa maji kutokana na ujenzi wa mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa kwa thamani ya shilingi bilioni 2.4 hadi kukamilika kwake.
Taarifa ya utekelezaji wa mradi huo imetolewa na mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Mar
Serikali yaongeza kasi upatikanaji maji
SERIKALI imekamilisha mipango ya kuvuta maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya wakazi wa mjini ya Tabora, Nzega na Igunga katika Mkoa wa Tabora.
9 years ago
StarTV21 Dec
Serikali ya awamu ya tano yajipanga kulitatua Tatizo La Upatikanaji Maji
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali ya awamu ya tano imejipanga kuhakikisha inatatua suala la maji ambalo limekuwa likididimiza nguvu kazi za wananchi kutumia muda mwingi kutafuta maji na kutumia muda mchache katika shughuli za maendeleo.
Waziri Mbarawa ameyasema hayo Mkoani Geita katika ziara yake ya kikazi ambapo amekuta miradi mbalimbali ya maji ikiendelea na baadhi ikiwa na changamoto kama za ukosefu wa fedha za kumalizia miradi hiyo na kuahidi kumaliza...
5 years ago
Michuzi
KATIKA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA CORONA CCM YAZINDUA USHONAJI WA BARAKOA CHUO CHA IHEMI MJINI IRINGA,YARAHISISHA UPATIKANAJI WAKE
Mama Queen Mlozi amefanya Uzinduzi huo leo tarehe 25 Aprili, 2020 akimuwakilisha Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally.
Katibu Mkuu wa UWT, akizundua utengenezaji huo wa Barakoa, ameeleza kuwa, "CCM imeamua kutengeneza barakoa kwa bei nafuu, kulinganisha na bei za maeneo mengine ili kutoa huduma na kuwasaidia wananchi kujikinga na...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Kaya milioni moja kunufaika na Tasaf
WASTANI wa kaya milioni moja ambazo zinaishi katika hali duni ya umasikini nchini, zimelengwa kuwezeshwa katika kujikimu kimaisha katika utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini unaotekelezwa na Mfuko wa...
11 years ago
Habarileo02 Aug
Kaya 2,944 masikini sana kunufaika
MPANGO wa kunusuru kaya masikini sana kupitia Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF lll) katika Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, unatarajia kunufaisha kaya 2,944.
10 years ago
VijimamboWANANCHI WA UKANDA WA ZIWA NYASA KUNUFAIKA NA UPATIKANAJI WA TAARIFA MAALUM ZA HALI YA HEWA
Mamlaka ya Hali ya Hewa kwa kushirikiana na Shirika la Hali ya Hewa...
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Kaya 12,300 kunufaika na miradi ya Sh5 bil Chamwino
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Ukawa kunufaika mgogoro wa madiwani Bukoba