Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYANZA: Walimu wanyoshewa kidole mimba za utotoni

Wadau wa Maendeleo wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamewatuhumu baadhi ya walimu kuwa chanzo cha mimba za utotoni kutokana na kuwarubuni wanafunzi na kuficha takwimu sahihi za waliopata ujauzito.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Walimu wadaiwa chanzo cha mimba utotoni

BAADHI ya walimu wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wanatuhumiwa kuwa chanzo cha mimba za utotoni kwa kuwarubuni wanafunzi wao huku wakificha takwimu sahihi za wanafunzi waliopatwa na ujauzito.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabishara Arusha wanyoshewa kidole

Wafanyabiashara wanaotoa  huduma katika  masoko   wametakiwa kudumisha utaratibu  wa kufanya usafi katika maeneo yao ya biashara  pasipo kushurutishwa ili kulinda afya za watumiaji wa bidhaa wanazouza, ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.

Pia imeelezwa kuwa maeneo mengi ya masoko usafi wake hauridhishi kutokana na tabia ya baadhi ya  wafanyabiashara kutokushiriki kikamilifu katika kufanya usafi.

 wafanyabiashara wa soko kuu lililopo katikati ya jiji la Arusha  pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Walimu wageuza madaftari viti

>Walimu wa Shule ya Msingi Mwatulole mkoani Geita, hawana meza wala viti hali inayowalazimu kukalia madaftari ya wanafunzi kwa kuyatandika kwenye magogo.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi

Walimu 75 wa shule za msingi na sekondari wamezingira ofisi ya mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wakitaka kujua hatima ya kupandishwa kwao madaraja ya utumishi.

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana 98 wapata mimba utotoni

ZAIDI ya wasichana 98 walipata mimba za utotoni na wengine kukatishwa masomo kwa kipindi cha mwaka huu, mkoani Kilimanjaro, huku asilimia kubwa wakiwa ni kutoka familia masikini.

 

10 years ago

Habarileo

WAMA kuelimisha mimba za utotoni

Mama Salma KikweteMKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amesema katika mwaka huu Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama), itaendelea kujikita katika kuelimisha jamii kuzuia na kudhibiti mimba za umri mdogo hususani kwa wanafunzi wa shule za sekondari.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mimba za utotoni janga la taifa

INGAWA asasi mbalimbali za serikali na zisizo za serikali zinapiga vita ndoa na mimba za utotoni, bado tatizo hilo ni kubwa katika  mikoa ya Mtwara na Lindi. Ripoti ya pili...

 

10 years ago

Mwananchi

Machimbo yachangia mimba za utotoni

Kahama. Uwepo wa machimbo mengi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu eneo la Bulyanhulu lenye kata za Luguya, Bulyanhulu na Bugalama wilayani hapa, imedaiwa kuwa moja ya sababu inayochangia watoto wengi kukatisha masomo hasa wasichana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani