Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaroni kwa viungo, mifupa ya albino

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kagera, Henry MwaibambeWATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa kukutwa na mifupa ya albino

Polisi mkoani Kagera wamedai kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na mifupa inayodhamiwa kuwa ya binadamu mwenye ulemavu wa ngozi (albino), aliyefariki mwaka 2006 wa Kijiji cha Rushwa wilayani Muleba.

 

10 years ago

Habarileo

6 mbaroni kwa kukutwa na mifupa 6 ya binadamu

Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan KagandaJESHI la Polisi mkoani Tabora, limewakamata na kuwafikisha mahakamani watu sita, kwa tuhuma za kukutwa na mifupa sita ya binadamu, inayodhaniwa kuwa ni ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).

 

11 years ago

GPL

WATU 8 MBARONI KWA KUTUPA VIUNGO VYA BINADAMU DAR

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akitoa taarifa kwa wanahabari. JESHI la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam linawashikilia watu nane na kuwahoji kuhusu tukio la kupatikana kwa viungo vya binadamu vilivyogundulika katika maeneo ya bonde la Mbweni Mpiji, Bunju B Julai 21, mwaka huu ambapo mifuko ya plastiki ipatayo 85 yenye mabaki ya viungo vya binadamu iligundulika. Polisi walipata taarifa za...

 

10 years ago

Mtanzania

Kigogo mbaroni kwa mauaji ya albino

NA PETER FABIAN, MWANZA
KIONGOZI wa chama kimoja cha siasa mkoani Mwanza (jina tunalo) anashikiliwa na Jeshi la Polisi akihusishwa na uhalifu wa utengenezaji wa noti bandia, utekaji na mauaji ya albino katika maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa.
Habari za uhakika zilizolifikia MTANZANIA kutoka vyanzo vyetu vya habari zimesema kuwa kigogo huyo alikamatwa wilayani Magu Februari 26, mwaka huu saa 7:00 usiku.
Kigogo huyo ambaye anadaiwa kuhusishwa na utekaji wa mauaji ya albino alikamatwa baada...

 

10 years ago

Habarileo

Mwalimu, wenzake wakutwa na mifupa ya albino

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Justus KamugishaWATU sita, akiwemo Mwalimu wa Shule ya Msingi Katunguru iliyoko Kata ya Wendele, Tarafa ya Msalala wilayani Kahama, wamekamatwa mjini hapa wakiwa na vipande sita vya mifupa inayodhaniwa kuwa ya albino.

 

10 years ago

GPL

MWALIMU NA WENZAKE WATANO WALIOKAMATWA NA MIFUPA YA ALBINO

Bilia Masanja Mhalala. Mwalimu wa Shule ya Msingi Katunguru wilayani Kahama, Bahati Kilungu Maziku. Abubakar Ally Magazi.…

 

10 years ago

Mwananchi

Albino wazidi kukatwa viungo

Katavi. Mwanamke mmoja mwenye ulemavu wa ngozi, Remi Luchoma (30), Mkazi Kijiji cha Mwamachoma, wilayani Mlele amekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana na kutokomea nacho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Albino 5 Tz warejeshewa viungo Marekani

Watoto 5 wa Tanzania wenye ulemavu wa ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa viungo bandia Marekani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watoto Albino wapatiwa viungo marekani

Watoto watano wa Tanzania wenye ulemavu wa Ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa mikono na miguu ya bandia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani