Albino wazidi kukatwa viungo
Katavi. Mwanamke mmoja mwenye ulemavu wa ngozi, Remi Luchoma (30), Mkazi Kijiji cha Mwamachoma, wilayani Mlele amekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana na kutokomea nacho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Apr
Maiti yafukuliwa, yabainika kukatwa baadhi ya viungo
Taharuki imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Parknyigoti, Kata ya Ikoma, Wilaya ya Serengeti mkoani baada ya kufukua kaburi la Selina Jumapili na kukutwa sehemu mbalimbali za viungo vikiwa vimekatwa.
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Jirani mbaroni kusaidia albino kukatwa mkono
>Mganga mmoja wa kienyeji na jirani wa binti, Pendo Sengerema (15), anashikiliwa na polisi kwa kuwaonyesha wahalifu anakoishi mtoto huyo mwenye ulemavu wa ngozi (albino), ambao walimkata mkono na kuondoka nao.
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Albino 5 Tz warejeshewa viungo Marekani
Watoto 5 wa Tanzania wenye ulemavu wa ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa viungo bandia Marekani.
10 years ago
Mwananchi23 May
Mwalimu akutwa na viungo vya albino
>Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga inawashikilia watu watano, akiwamo mwalimu wa shule ya msingi na mwanamke mmoja, kwa tuhuma za kukutwa na viungo vya albino wakiwa katika harakati za kutaka kuviuza wilayani Nzega na Kahama.
10 years ago
Habarileo25 Mar
Mbaroni kwa viungo, mifupa ya albino
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).
11 years ago
Mwananchi14 May
Albino auawa, wauaji watoweka na viungo
Watu wasiojulikana mkoani Simiyu wamemuua kwa kumkatakata mapanga mlemavu wa ngozi (albino), Mughu Lugata (40) huku wakitoweka na baadhi ya viungo vyake.
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Siri yafichuka viungo vya albino
Kila kiungo kimoja cha ‘albino’, huuzwa kwa bei kubwa, hali inayotajwa kuwa kiini cha kukithiri kwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, mahakama mkoani Geita ilielezwa jana.
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Watoto Albino wapatiwa viungo marekani
Watoto watano wa Tanzania wenye ulemavu wa Ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa mikono na miguu ya bandia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yILHIeEOAcQzEobCVeJ6g51e0G3hUb5n8zE56m36xB08eC21Gs9NPf*B02AnpvREo1eMRAhuRFiTIEWjhJJ20BD/1ALBINO2.jpg?width=650)
ALBINO AUAWA, ACHUKULIWA VIUNGO VYAKE HUKO SIMIYU
Mwili wa marehemu Nughu Lugata ulivyokutwa. Mguu wa marehemu Nughu Lugata ukiwa umekatwa. MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu. Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana. Marehemu… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania