Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siri yafichuka viungo vya albino

Kila kiungo kimoja cha ‘albino’, huuzwa kwa bei kubwa, hali inayotajwa kuwa kiini cha kukithiri kwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, mahakama mkoani Geita ilielezwa jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwalimu akutwa na viungo vya albino

>Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga inawashikilia watu watano, akiwamo mwalimu wa shule ya msingi na mwanamke mmoja, kwa tuhuma za kukutwa na viungo vya albino wakiwa katika harakati za kutaka kuviuza wilayani Nzega na Kahama.

 

11 years ago

Mwananchi

Siri utupaji viungo vya maiti yabainika

>Wakati ikibainika kuwa viungo vya miili ya binadamu vilivyookotwa juzi katika Bonde la Mto Mpiji nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam vilitoka katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), jana Jeshi la Polisi liliwatia nguvuni watumishi wanane wa chuo hicho kuhusiana na sakata hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siri zazidi kuvuja viungo vya binadamu

SIKU moja baada ya serikali kufunga Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), kwa madai ya kuendeshwa kwa kukiuka taratibu za tiba, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa hatua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siri uteuzi wa Kingunge yafichuka

SIRI ya uteuzi wa mkongwe wa siasa nchini, Kingunge Ngomale-Mwiru, kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba imefichuka. Habari ambazo gazeti hili limezipata, zilisema kuwa uteuzi wa mkongwe huyo wa siasa...

 

9 years ago

Mtanzania

Siri yafichuka mkutano wa Dk. Slaa

??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia...

 

11 years ago

Mwananchi

Siri yafichuka mauaji Z’bar

Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji (KZU) na Polisi wamefanikiwa kuvunja zege lililokuwa limejengwa kufunika kisima walichotupwa raia wawili wa Ufaransa, baada ya kuuawa na kupata sehemu za miili yao ikiwamo fuvu la kichwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Siri kifo cha Mtikila yafichuka

ChristopherMtikilaNA GUSTAPHU HAULE, PWANI NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

SIRI ya kifo cha aliyekuwa mwanasiasa nguli na  Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imeanza kufichuka.

Uchunguzi wa kitabibu umebaini kuwa, Mchungaji Mtikila alifariki dunia baada ya kuvunjika mbavu nane, huku damu nyingi ikivujia katika mfumo wa hewa, kitendo kilichosababisha ashindwe kupumua.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffari Ibrahim...

 

11 years ago

Mtanzania

Siri ya motto aliyeibwa Dar yafichuka

Mtanzania 250714

Mama mzazi wa Marylin Repyson (kulia), Elida Fundi, akiwa amembeba mwanawe huku akiomba jana baada ya kuwasili nyumbani kwake Changanyikeni jijini Dar es Salaam. Picha na Fidelis Felix.

Aziza Masoud na Maneno Selanyika, Dar es Salaam

HATIMAYE kinara wa wizi wa watoto jijini Dar es Salaam, Amir Juma, amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa mkoani Tanga.

Juma anadaiwa kumuiba mtoto, Merlin Repyson (4) katika eneo la Changanyikeni siku nane zilizopita.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa...

 

11 years ago

GPL

SIRI YA FIGA BOMBA YA LULU YAFICHUKA!

Stori: Shakoor Jongo
SIRI ya muonekano mzuri wa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imefichuka baada ya kubainika kuwa, amekuwa akifanya mazoezi kila siku kwa kwenda gym. Lulu akifanya mazoezi. Lulu alianika siri hiyo hivi karibuni kupitia mtandao wa instargram kwa kutupia picha zikimuonesha akiwa kwenye tizi na baadae alipozi na kujifotoa picha ambazo zilimuonesha akiwa na umbo la kuvutia zaidi huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani