Siri yafichuka mkutano wa Dk. Slaa
NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Siri yafichuka mauaji Z’bar
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Siri uteuzi wa Kingunge yafichuka
SIRI ya uteuzi wa mkongwe wa siasa nchini, Kingunge Ngomale-Mwiru, kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba imefichuka. Habari ambazo gazeti hili limezipata, zilisema kuwa uteuzi wa mkongwe huyo wa siasa...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Siri kifo cha Mtikila yafichuka
NA GUSTAPHU HAULE, PWANI NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SIRI ya kifo cha aliyekuwa mwanasiasa nguli na Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imeanza kufichuka.
Uchunguzi wa kitabibu umebaini kuwa, Mchungaji Mtikila alifariki dunia baada ya kuvunjika mbavu nane, huku damu nyingi ikivujia katika mfumo wa hewa, kitendo kilichosababisha ashindwe kupumua.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffari Ibrahim...
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Siri yafichuka viungo vya albino
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Siri ya motto aliyeibwa Dar yafichuka
Mama mzazi wa Marylin Repyson (kulia), Elida Fundi, akiwa amembeba mwanawe huku akiomba jana baada ya kuwasili nyumbani kwake Changanyikeni jijini Dar es Salaam. Picha na Fidelis Felix.
Aziza Masoud na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
HATIMAYE kinara wa wizi wa watoto jijini Dar es Salaam, Amir Juma, amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa mkoani Tanga.
Juma anadaiwa kumuiba mtoto, Merlin Repyson (4) katika eneo la Changanyikeni siku nane zilizopita.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa...
11 years ago
GPLSIRI YA FIGA BOMBA YA LULU YAFICHUKA!
10 years ago
GPLSIRI PENZI LA ANTI LULU, BONDI YAFICHUKA
10 years ago
Vijimambo26 Jan
Siri ya Muhongo yafichuka, Wafanyabiashara, wawekezaji wakubwa wahusishwa
SIKU moja tu baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kuamua kuachia ngazi katika wizara hiyo siri kubwa imefichuka ya sababu hasa ambayo imemfanya aondoke ukiachilia mbali sakata la Escrow.
Imebainika kuwa wizara hiyo ni ngumu kwa waziri kukaa muda mrefu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa wafanyabiashara na wawawekezaji wakubwa na wadogo wamekuwa...
9 years ago
Bongo Movies24 Sep
Mastaa Kuhama Ukawa Kwenda CCM, Siri Nzito Yafichuka
NYUMA ya wimbi kubwa la mastaa waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna siri nzito zilizojificha na Amani limechimbua kutoka kwa wahusika.
Hivi karibuni, mastaa mbalimbali akiwemo mwigizaji Aunt Ezekiel na Vincent Kigosi ‘Ray’ waliokuwa wakishabikia Chadema kinachoungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walitangaza kuhamia CCM na kuzua taharuki kwa wafuasi wao.
Baada ya wawili hao kuhamia CCM, yaliibuka...