SIRI PENZI LA ANTI LULU, BONDI YAFICHUKA
![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNVAZDcWC0ZrPrm9QYwujLen2V9D7dmMqT3bYOIzkDtsQBaShvi61FulcyBAkfozuf6YihhuBtHD8m*D30Uj72LW/bond.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan SIRI imefichuka juu ya wasanii wawili waliokuwa wapenzi wa muda mrefu na kumwagana, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Bondi Sinan kwamba walipeana kiapo kizito, Ijumaa limetonywa. Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’. Chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, katika mapenzi yao waliapizana kwamba hakuna ruhusa kwa mmoja wao...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzoSMLw9GVHJyVH9ZFxWsDZ73OJmkBRQ2zSc8iBoPQwScJ97WZ2VZ2IkG*YCEfU9a2QtQ8ev2f4xvJQ12TSeTDJ6/LULU.jpg?width=650)
SIRI YA FIGA BOMBA YA LULU YAFICHUKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uVSra6c8ZxVfhN8MmS*Eh81MWJdSeYHHz8wdtyzwdnDUBSACzxrT2r0DJOfDXSejZRnW3tvREaoCaBB*scf087lAAbEITXYw/Wastara.jpg?width=650)
BONDI, WASTARA PENZI LAO KIZUNGU-MKUTI
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Bondi, Aunty Lulu Wapashana
Mastaa wa Bongo Movies na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Siri yafichuka mkutano wa Dk. Slaa
NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia...
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Siri yafichuka mauaji Z’bar
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Siri uteuzi wa Kingunge yafichuka
SIRI ya uteuzi wa mkongwe wa siasa nchini, Kingunge Ngomale-Mwiru, kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba imefichuka. Habari ambazo gazeti hili limezipata, zilisema kuwa uteuzi wa mkongwe huyo wa siasa...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Siri kifo cha Mtikila yafichuka
NA GUSTAPHU HAULE, PWANI NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SIRI ya kifo cha aliyekuwa mwanasiasa nguli na Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imeanza kufichuka.
Uchunguzi wa kitabibu umebaini kuwa, Mchungaji Mtikila alifariki dunia baada ya kuvunjika mbavu nane, huku damu nyingi ikivujia katika mfumo wa hewa, kitendo kilichosababisha ashindwe kupumua.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffari Ibrahim...
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Siri ya motto aliyeibwa Dar yafichuka
![Mtanzania 250714](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/mtanzania-250714.jpg)
Mama mzazi wa Marylin Repyson (kulia), Elida Fundi, akiwa amembeba mwanawe huku akiomba jana baada ya kuwasili nyumbani kwake Changanyikeni jijini Dar es Salaam. Picha na Fidelis Felix.
Aziza Masoud na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
HATIMAYE kinara wa wizi wa watoto jijini Dar es Salaam, Amir Juma, amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa mkoani Tanga.
Juma anadaiwa kumuiba mtoto, Merlin Repyson (4) katika eneo la Changanyikeni siku nane zilizopita.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa...
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Siri yafichuka viungo vya albino