Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDI, WASTARA PENZI LAO KIZUNGU-MKUTI

Na Laurent Samatta
BAADA ya wiki iliyopita msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kuripotiwa kwenye moja ya magazeti pendwa kuwa hana uhusiano na mtu yeyote ndani ya Bongo Muvi na yupo mbioni kumuanika mrithi wa Sajuki mengi yameendelea kuibuka. Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma akiwa kwenye pozi la kimahaba na Bondi Bin Salim. Akizungumza na Uwazi, mpenzi wa Wastara anayetambulika kwa jina la Bondi Bin Salim alidai kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA AMPIGA MSASA BONDI

Stori: gladness Mallya
BAADA ya tetesi kuzagaa mitaani kwamba wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim wanatoka kimapenzi, bidada huyo ameibuka na kufunguka kuwa bado hajamkubalia jumla Bondi kwani bado anamchunguza. Wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim. Akipiga stori na paparazi wetu, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini....

 

10 years ago

GPL

SIRI PENZI LA ANTI LULU, BONDI YAFICHUKA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
SIRI imefichuka juu ya wasanii wawili waliokuwa wapenzi wa muda mrefu na kumwagana, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Bondi Sinan kwamba walipeana kiapo kizito, Ijumaa limetonywa. Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’. Chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, katika mapenzi yao waliapizana kwamba hakuna ruhusa kwa mmoja wao...

 

10 years ago

CloudsFM

AUNTY EZEKIEL,MOSE IYOBO WADHIHIRISHA PENZI LAO

Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni.

Mara kadhaa msanii huyo wa Bongo Movie amekuwa akikana kuwa hana uhusiano na dansa huyo na kutoweka wazi mhusika wa ujauzito wake hivyo picha hiyo imeonyesha kuwa Mose Iyobo kuwa ni mhusika wa ujauzito huo.

 

9 years ago

Mtanzania

Amber Rose, Wiz Khalifa waimarisha penzi lao

wizLOS ANGELES, MAREKANI

MKALI wa hip hop nchini Marekani, Wiz Khalifa na Amber Rose, wameonekana kuimarisha penzi lao baada ya juzi kukutwa mitaani wakiwa na mtoto wao.

Wawili hao walikuwa na uhusiano wa muda mrefu na kufanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye walimpa jina la Sebastian, lakini Septemba mwaka jana waliachana.

Taarifa zilisambaa kwamba wamerudiana baada ya msanii huyo kuachia wimbo wake mpya wa ‘See You Again’, ambapo wimbo huo ulimfanya mwanadada Amber Rose kushindwa kuzuia hisia...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi

KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.

“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Shilole Afuta Tattoo ya Nuh Kifuani, Yasemekana Penzi Lao Limeingia Mchanga!

Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.

shilole-2

Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.

SHISHI tattoo mpya
Tattoo mpya

shishiiiii

SHISHI tattoo zamani
Tattoo iliyofutwa

Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Shilole afuta tattoo ya Nuh kifuani, yasemekana penzi lao limeingia mchanga!

shilole-2

Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.

shilole-2

Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.

SHISHI tattoo mpya
Tattoo mpya

shishiiiii

SHISHI tattoo zamani
Tattoo iliyofutwa

Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila...

 

10 years ago

GPL

IMAMU HOI PENZI LA WASTARA

Deogratius Mongela na Chande Abdallah KATIKA hali ya kushangaza, Imam wa msikiti mmoja uliopo Kibamba, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Ustadh Anuary, yupo hoi kwa kuhitaji penzi la muigizaji nyota, Wastara Juma, Risasi Mchanganyiko linakujuza. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1IGvVbv

 

9 years ago

GPL

WASTARA: PENZI TAMU NILILIPATA KWA SAJUKI TU!

Imelda Mtema NASEMA ukweli kabisa! Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma ameweka wazi kuwa, tangu azaliwe, penzi pekee alilowahi kulifurahia ni la aliyekuwa mumewe na msanii mwenzake, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma. Akichonga na Amani juzi, Wastara alifunguka kuwa, Sajuki ndiye mtu pekee aliyekuwa akimwelewa na kumpa mapenzi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani