WASTARA AMPIGA MSASA BONDI
![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8WuWz1g*qwta0rR8k7an6ifO6pIIkGBXKWxq0bz861zgPMYNNIZXI8TsCT5aKLL*bi*qawfNH7K8PJgfA6JTsMv/Wastara.jpg)
Stori: gladness Mallya BAADA ya tetesi kuzagaa mitaani kwamba wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim wanatoka kimapenzi, bidada huyo ameibuka na kufunguka kuwa bado hajamkubalia jumla Bondi kwani bado anamchunguza. Wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim. Akipiga stori na paparazi wetu, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uVSra6c8ZxVfhN8MmS*Eh81MWJdSeYHHz8wdtyzwdnDUBSACzxrT2r0DJOfDXSejZRnW3tvREaoCaBB*scf087lAAbEITXYw/Wastara.jpg?width=650)
BONDI, WASTARA PENZI LAO KIZUNGU-MKUTI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLrodH6PkFgsRdTYPPJ6O7agSPYMJNNBTzNqDOj6WQbdZcv2G0cRlbGBVusG7VMaCed64HwrDZH1ER-0V-Ab7EWF/1.jpg?width=650)
WOLPER AMPIGA MIZINGA BWANA WA WASTARA
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi
KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.
“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Ubuyu: Wastara Amchunguza na Kumpiga Msasa Bond Kabla ya Kumuweka "Ofisho"!!
Baada ya tetesi kuzagaa mitaani kwamba wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim wanatoka kimapenzi, bidada huyo ameibuka na kufunguka kuwa bado hajamkubalia jumla Bondi kwani bado anamchunguza.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini.
“Bondi ninamchunguza kwanza na kumpiga msasa awe wa tofauti na alivyokuwa zamani sijamtangaza rasmi kwa sababu kuna vitu bado sijajiridhisha kwake...
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Bondi, Aunty Lulu Wapashana
Mastaa wa Bongo Movies na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Wageni ruksa kununua bondi za Serikali
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNVAZDcWC0ZrPrm9QYwujLen2V9D7dmMqT3bYOIzkDtsQBaShvi61FulcyBAkfozuf6YihhuBtHD8m*D30Uj72LW/bond.jpg?width=650)
SIRI PENZI LA ANTI LULU, BONDI YAFICHUKA
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Mwalimu ampiga mwandishi
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Miyeyusho ampiga Mkenya KO