Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu ampiga mwandishi

Mwandishi wa Mwananchi, Tumaini Msowoya jana alipigwa ngumi kadhaa kichwani na mwalimu wa Shule ya Sekondari Kitunda wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo

Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.

 

11 years ago

Michuzi

Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda  Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu adaiwa kumuua mwalimu mwenzake Kagera

>Mwalimu wa Shule ya Msingi Kaiho, Kijiji cha Rwigembe, mkoani Kagera, Tumaini Samson (42) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwenzake, Samson Mwenda (26) kutokana na kumchoma kwa kisu kifuani na mgongoni.

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho ampiga Mkenya KO

>Bondia, Francis  ‘Chichi mawe’ Miyeyusho juzi usiku  aliibuka kinara baada ya kumgaragaza  Joshua Amukulu wa Kenya kwa Knock  Out (KO) raundi ya pili ya pambano  la raundi nane la uzani wa light.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kikwete ‘ampiga’ kijembe Lowassa

KATIKA hali ambayo ni nadra kujitokea, Rais Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa dini nchini ‘kulima mraba’ wao vizuri ili kulisaidia taifa, ikiwa ni pamoja na kutowapa nafasi viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya dini kuendeleza maslahi yao ya kisiasa, na  hasa kupandikiza chuki katika jamii.

Kikwete ambaye katika hotuba yake hiyo hakutaja jina la mtu yeyote, lakini kauli yake hiyo inaweza kuhusishwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond,...

 

9 years ago

Mwananchi

Lusinde ampiga kijembe Mbatia

Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amempiga kijembe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia kuwa bila CCM asingekuwapo kwenye ramani ya siasa na chama chake kingekuwa kimekufa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni ampiga vijembe Mbabazi

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameijibu video ya waziri mkuu na katibu mkuu wa zamani Amama Mbabazi ya kutangaza nia yake ya kuwania Urais.

 

10 years ago

Mtanzania

Nyalandu ampiga kijembe Kinana

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alionekana kumpiga kijembe Katibu MKuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana aliposema kuwa sasa atakuwa anazurura angani.
Nyalandu alitoa kauli hiyo Dar es Salaam alipozindua ndege nyepesi (Micro-Light, 5H – Hel), ambayo itatumika kupambana na ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.
“Karibuni wote, leo tunazururia hapa uwanja wa ndege na ninazindua ndege hii nyepesi ambayo imetengenezwa...

 

10 years ago

GPL

MLELA AMPIGA DONGO NORA

Stori Mwandishi Wetu
KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito akisema licha ya umri kuwa mkubwa, pia ana matatizo flani yanayomsumbua. Msanii wa filamu Bongo, Yusuph Mlela.
“Nora naona siyo kosa lake kwani alishaugua yule,  isitoshe ameshakuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani