msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo
Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 May
Gabon waomba mwalimu kuwafundisha Kiswahili
SERIKALI ya Gabon kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imeomba kupatiwa Mhadhiri wa kufundisha Kiswahili katika Vyuo vya Elimu ya Juu nchini Gabon.
11 years ago
Michuzi10 Jul
Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja
JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu. Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Mwalimu adaiwa kumuua mwalimu mwenzake Kagera
>Mwalimu wa Shule ya Msingi Kaiho, Kijiji cha Rwigembe, mkoani Kagera, Tumaini Samson (42) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwenzake, Samson Mwenda (26) kutokana na kumchoma kwa kisu kifuani na mgongoni.
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Mwalimu Nyerere na siri ya maendeleo ya Kiswahili nchini
Katika Afrika ya Mashariki, tangu enzi za ukoloni mpaka sasa, Kiswahili kinaonekana kutamalaki zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine.
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Mzee Mwinyi ni mwalimu ‘darasa maalumu la Kiswahili’
Lugha ya Kiswahili ni tunu iliyositirika kwetu, haina budi kuenziwa. Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, ni mfano mzuri na wa kuigwa katika kukienzi Kiswahili.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi.jpg)
kutana na kijana Amosi Peter Rwangarya, mwalimu wa kiswahili Serbia
.jpg)
.jpg)
Amosi Peter...
10 years ago
Bongo501 Sep
Jay Moe mwalimu aliyenifundisha kurap Kiswahili ni Solo Thang
Rapper wa siku nyingi hapa bongo Jay Moe ambaye anaunda kundi la Wateule hivi karibu alipo kuwa akipiga story na eatv amemshukuru sana swahiba wake Solo Thang kwani ni watu wenye mchango mkubwa kwake alimbadilisha kipindi hicho cha nyuma katika upende wa kuandika mashairi kwa Kiswahili. Jay Moe ansema “solo Thang ni mtu ambaye nilikuwa […]
10 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-March-2025 in Tanzania