kutana na kijana Amosi Peter Rwangarya, mwalimu wa kiswahili Serbia
![](http://4.bp.blogspot.com/-kTDnDCW3WyA/VSo4SwzWn8I/AAAAAAAHQhM/LrGup9mU-wA/s72-c/unnamed%2B(65).jpg)
Kijana Amosi Peter Rwangarya ambaye ni mtanzania mwanafunzi nchini Serbia akiwa anawakaribisha wanafunzi wa Kiserbia (Ulaya Mashariki) kujifunza Kiswahili kwenye ukumbi wa African Museum jijini Belgrade (Serbia).
Amosi Peter Rwangarya(kulia) na Galina Tudyk (kushoto) ambaye ni Mserbia aliye wahi kukaa East Afrika kama Kenya na Tanzania na anaongea kiswahili na ni mwalimu wa lugha mbalimbali haswa kiingereza na Kiserbia na hapo mbele ni wanafunzi wanaojifunza kiswahili nchini humo.
Amosi Peter...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi12 Apr
msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo
Kwa mawasiliano nitumie email.
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Kutana na kijana mwenye ndoto ya kuunda chopa
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/Doreen-Noni-at-Davos.jpg)
KUTANA NA DOREEN PETER NONI MJASIRIAMALI NA MBUNIFU WA MAVAZI NCHINI
10 years ago
Vijimambo31 Jul
IBADA YA KISWAHILI NA SEMINA YA PETER MITIMINGI
![](https://scontent-iad3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/t31.0-8/11157492_10205230903796764_1099630793071036295_o.jpg)
![](https://scontent-iad3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xat1/t31.0-8/11802558_10205230933877516_3286044079218237945_o.jpg)
![](https://scontent-iad3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xft1/t31.0-8/11731757_10205230902596734_6013261036245476374_o.jpg)
11 years ago
Habarileo07 May
Gabon waomba mwalimu kuwafundisha Kiswahili
SERIKALI ya Gabon kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imeomba kupatiwa Mhadhiri wa kufundisha Kiswahili katika Vyuo vya Elimu ya Juu nchini Gabon.
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Mwalimu Nyerere na siri ya maendeleo ya Kiswahili nchini
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Mzee Mwinyi ni mwalimu ‘darasa maalumu la Kiswahili’
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/yPbId87ZUCk/default.jpg)