Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IBADA YA KISWAHILI NA SEMINA YA PETER MITIMINGI

Mchungaji Peter Mitimingi akitoa semina kwa waumini wa kanisa la kiswahili Columbus, Ohio iliyofanyika Jumapili July 26, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani. Picha zote na Akili Mtaam, Mwakilishi wa Vijimambo, Columbus, Ohio.Mchungaji wa ibada ya kiswahili Columbus, Ohio akitoa mahaubiri kwa waumini wa ibada ya kiswahili iliyofanyika siku ya Jumapili July 26, 2015 Columbus, Ohio.Waumini wa ibada ya kiswahili wakifuatilia semina ya mchungaji Peter Mitimingi iliyofanyika siku ya Jumapili July...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga

NENO LA LEO: Luka 6: 27-28  Lakini nawaambia nyie mnaosikia, wapendeni adui zenu,watendeeni mema wale ambao wanaowachukia ninyi.  28 Wabarikieni wale ambao wanawalaani ninyi, Waombeeni wale ambao wanaowaonea ninyi.
TAFAKARI: Neno la leo ni mtihani mkubwa sana manake Bwana Yesu anatuamuru kuwa tuwapende maadui zetu na kuwaombea wale ambao wanatuonea. Kiubinadamu ni kawaida kutaka kulipiza mabaya kwa mabaya. Hiyo ndiyo asili yetu. Lakini sisi Wakristo tunatakiwa maisha yetu yawe ni...

 

11 years ago

Michuzi

Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga - Juni 1, 2014 Kuanzia 3:30pm

 Anza Siku njema na NENO la MUNGU kila siku kwa kutembelea Ibada ya Kiswahili website na Ukurasa wa Ibada ya Kiswahili kwenye Facebook.

 

10 years ago

Vijimambo

Ibada ya shukrani na kumbukumbu ya Baba Peter Msungu na Kaka Gerald A. Natumwa


Steve akisoma neno la kwanza wakati wa ibada hiyo ya shukurani na kumbukumbu.
Dada Kie akisoma wasifu wa Marehemu Gerald NatumwaNdugu Vitalis Gunda akitoa shukurani kwa niaba ya familia ya Steve na Esther Msungu

Binamu wa Steave Msungu , Ndugu  Vicent akisoma wasifu wa Marehemu Mzee Msungu















Picha zaidi hapa kwa iskajojo

 

9 years ago

Vijimambo

TANAGZO LA IBADA YA KISWAHILI


                                                         
IBADA YA KISWAHILI KANISA KATOLIKI                    DAYOSIS YA CLEVELAND EAST                                                                   KARIBUNIWapendwa wakristo mnkaribishwa kushiriki sherehe ya kutimiza mwaka mmoja wa ibada ya Kiswahili kanisa letu Katoliki Dayosis ya Cleveland. Ibada itaanza saa kumi jioni, na baada ya ibada kutakuwa na chakula na vinywaji, pia kubadilishana mawazo.Ibada hii itafanyika;St Adelbert...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

kutana na kijana Amosi Peter Rwangarya, mwalimu wa kiswahili Serbia

 Kijana Amosi Peter Rwangarya ambaye ni mtanzania mwanafunzi nchini Serbia akiwa anawakaribisha wanafunzi wa Kiserbia (Ulaya Mashariki) kujifunza Kiswahili kwenye ukumbi wa African Museum jijini Belgrade (Serbia).Amosi Peter Rwangarya(kulia) na Galina Tudyk (kushoto) ambaye ni Mserbia aliye wahi kukaa East Afrika kama Kenya na Tanzania na anaongea kiswahili na ni mwalimu wa lugha mbalimbali haswa kiingereza na Kiserbia na hapo mbele ni wanafunzi wanaojifunza kiswahili nchini humo.
Amosi Peter...

 

9 years ago

Vijimambo

ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili


Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College4121 Harewood Road, NE, Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 25 Octoba 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV anwani. Tupatie mawasiliano yako kwenda kwa:-WauminiWakatoliki@gmail.com
Kwa niaba ya Fr. Leandry Kimario, ni...

 

10 years ago

Michuzi

Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014

Waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie;kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. - Mathayo 19:14.
Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani