Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANAGZO LA IBADA YA KISWAHILI


                                                         
IBADA YA KISWAHILI KANISA KATOLIKI                    DAYOSIS YA CLEVELAND EAST                                                                   KARIBUNIWapendwa wakristo mnkaribishwa kushiriki sherehe ya kutimiza mwaka mmoja wa ibada ya Kiswahili kanisa letu Katoliki Dayosis ya Cleveland. Ibada itaanza saa kumi jioni, na baada ya ibada kutakuwa na chakula na vinywaji, pia kubadilishana mawazo.Ibada hii itafanyika;St Adelbert...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga

NENO LA LEO: Luka 6: 27-28  Lakini nawaambia nyie mnaosikia, wapendeni adui zenu,watendeeni mema wale ambao wanaowachukia ninyi.  28 Wabarikieni wale ambao wanawalaani ninyi, Waombeeni wale ambao wanaowaonea ninyi.
TAFAKARI: Neno la leo ni mtihani mkubwa sana manake Bwana Yesu anatuamuru kuwa tuwapende maadui zetu na kuwaombea wale ambao wanatuonea. Kiubinadamu ni kawaida kutaka kulipiza mabaya kwa mabaya. Hiyo ndiyo asili yetu. Lakini sisi Wakristo tunatakiwa maisha yetu yawe ni...

 

11 years ago

Michuzi

Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga - Juni 1, 2014 Kuanzia 3:30pm

 Anza Siku njema na NENO la MUNGU kila siku kwa kutembelea Ibada ya Kiswahili website na Ukurasa wa Ibada ya Kiswahili kwenye Facebook.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KISWAHILI NA SEMINA YA PETER MITIMINGI

Mchungaji Peter Mitimingi akitoa semina kwa waumini wa kanisa la kiswahili Columbus, Ohio iliyofanyika Jumapili July 26, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani. Picha zote na Akili Mtaam, Mwakilishi wa Vijimambo, Columbus, Ohio.Mchungaji wa ibada ya kiswahili Columbus, Ohio akitoa mahaubiri kwa waumini wa ibada ya kiswahili iliyofanyika siku ya Jumapili July 26, 2015 Columbus, Ohio.Waumini wa ibada ya kiswahili wakifuatilia semina ya mchungaji Peter Mitimingi iliyofanyika siku ya Jumapili July...

 

10 years ago

Vijimambo

ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili


Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College4121 Harewood Road, NE, Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 25 Octoba 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV anwani. Tupatie mawasiliano yako kwenda kwa:-WauminiWakatoliki@gmail.com
Kwa niaba ya Fr. Leandry Kimario, ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Sana Kwa Ibada ya Misa ya Kiswahili, 29 March 2015

Tumsifu Yesu Kristu Wapendwa WoteMnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili kwa nia ya kuwaombea Watoto Wetu Mafanikio Mashuleni itakayofanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish), 901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000, Tarehe 29 March 2015 (Jumapili ya Matawi 2015) Saa nane kamili mchana (2:00 PM).Kwa niaba ya Baba Paroko, Padri Honest Munishi, napenda kutoa shukurani za dhati toka kwake na waumini wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Waumini wakatoliki wa DMV waadhimisha ibada ya misa ya Kiswahili Baltimore Md.

IMG_9991Padre Honest Munishi akiongoza ibada takatifu ya misa ya Kiswahili ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi katika kanisa katoliki la St.Edwards huko Baltimore Md Jumapili Agosti 30,2015. IMG_9954Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa na mama Mutalemwa wakifuatilia ibada hiyo. IMG_9952Mrs.Kessi na mwanae wakifuatilia ibada. IMG_9956Bernadeta Kaiza akiongoza kwaya kwaya ya watoto. IMG_9975Bw.Stanley akifuatilia ibada hiyo. IMG_9977Bi.Aireen na wanawe katika ibada. IMG_9988Katibu Dan Stephen akitoa matangazo. IMG_9998Bw.Patrick...

 

11 years ago

Michuzi

Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014

Waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie;kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. - Mathayo 19:14.
Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani