Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga

NENO LA LEO: Luka 6: 27-28  Lakini nawaambia nyie mnaosikia, wapendeni adui zenu,watendeeni mema wale ambao wanaowachukia ninyi.  28 Wabarikieni wale ambao wanawalaani ninyi, Waombeeni wale ambao wanaowaonea ninyi.
TAFAKARI: Neno la leo ni mtihani mkubwa sana manake Bwana Yesu anatuamuru kuwa tuwapende maadui zetu na kuwaombea wale ambao wanatuonea. Kiubinadamu ni kawaida kutaka kulipiza mabaya kwa mabaya. Hiyo ndiyo asili yetu. Lakini sisi Wakristo tunatakiwa maisha yetu yawe ni...

Michuzi

Read more

Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga - Juni 1, 2014 Kuanzia 3:30pm

 Anza Siku njema na NENO la MUNGU kila siku kwa kutembelea Ibada ya Kiswahili website na Ukurasa wa Ibada ya Kiswahili kwenye Facebook.

10 years ago

Vijimambo

Usikose Ibada ya Kiswahili (IYK), Maalum ya Mavuno 2014 - Columbus, Ohio (Mch. Ipyana Mwakabonga) - Jumamosi Novemba 29, 2014 Kuanzia saa 3:30pm (EST)

* Kwaya ya Sifa Voice - Ohio itatubariki kwa nyimbo mbali mbali* Mwimbaji Fay Destiny atatubariki na nyimbo* Tembelea tovuti ya IYK-Columbus kwa www.iykcolumbus.org

10 years ago

Vijimambo

Usikose Ibada ya Kiswahili (IYK), Maalum ya Mavuno 2014 - Columbus, Ohio (Mch. Ipyana Mwakabonga) - Jumamosi Novemba 29, 2014 Kuanzia saa 3:30pm (EST)

* SIFA Voices Group - Ohio itatubariki kwa nyimbo mbali mbali* Mwimbaji Fay Destiny atatubariki na nyimbo* Tembelea tovuti ya IYK-Columbus kwa www.iykcolumbus.org

10 years ago

Vijimambo

Kantante!- Karibuni Ibada ya Kiswahili — Maalum kwa Uimbaji Jumapili hii Mei 03, 2015 Kuanzia saa Kumi kamili

Kichwa cha Siku hii: Zaburi 150:6... Kila mwenye pumzi amsifu BWANA. Haleluya!Kutakuwa na Uimbaji wa Lugha mbalimbali toka nchini Tanzania, Zimbabwe, Marekani, Ujerumani, Australia, Watoto, Vikundi vya Familia na wimbo wa "Mungu nipendo" Utaimbwa kwa lugha zote zitakazoshiriki! (unakaribishwa kuja na kopi ya lugha kwako)Karibu sana na Mkaribishe na mwingine!!!***   ***   Ibada ya Kiswahili Columbus   ***   ***

10 years ago

Vijimambo

Kantate!- Karibuni Ibada ya Kiswahili — Maalum kwa Uimbaji Jumapili hii Mei 03, 2015 Kuanzia saa Kumi kamili

Kichwa cha Siku hii: Zaburi 150:6... Kila mwenye pumzi amsifu BWANA. Haleluya!Kutakuwa na Uimbaji wa Lugha mbalimbali toka nchini Tanzania, Zimbabwe, Marekani, Ujerumani, Australia, Watoto, Vikundi vya Familia na wimbo wa "Mungu nipendo" Utaimbwa kwa lugha zote zitakazoshiriki! (unakaribishwa kuja na kopi ya lugha kwako)Karibu sana na Mkaribishe na mwingine!!!***   ***   Ibada ya Kiswahili Columbus   ***   ***

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani