Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014

Waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie;kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. - Mathayo 19:14.
Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

Karibu Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Novemba 02, 2014 Kuanzia saa tisa na nusu mchana

Karibu ubarikiwe na WaimbajiSIFA Choir – Columbus, OhioIYK Poster Nov 2,2014Tembelea tovuti yetu: ww.iykcolumbus.org

 

10 years ago

Michuzi

Karibuni Ibada ya Kiswahili - Jumapili hii Aprili 19,2015 Kuanzia saa kumi kamili jioni Columbus, ohio

***Mchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga******www.iykcolumbus.org**

 

10 years ago

Vijimambo

Karibu Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Novemba 02, 2014 Kuanzia saa tisa na nusu mchana (3:30pm EST)

Karibu ubarikiwe na Waimbaji SIFA Choir – Columbus, Ohio IYK Poster Nov 2,2014Tembelea tovuti yetu: www.iykcolumbus.org

 

9 years ago

Vijimambo

Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Kusifu na Kuabudu Jumapili hii 20 septemba 2015 Kuanzia saa kumi kamili jioni

IYK Columbus, OhioMchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga Karibu tovuti ya Ibada ya Kiswahili bonyeza hapa: www.iykcolumbus.org Pamoja na kwa umoja tukue na kuimarika katika Misingi Imara ya Kiimani na kudumisha Upendo ndani ya Utamaduni wetu!TUTAENDELEA NA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA UPENDO KWA AJILI YA NCHI YA TANZANIA KWA WAKATI HUU WA UCHAGUZI MKUU.MUNGU IBARIKI TANZANIA! 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani