Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014

Waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie;kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. - Mathayo 19:14.
Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!

Michuzi

Read more

Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Kusifu na Kuabudu - Jumapili hii 20 Septemba 2015 Kuanzia saa kumi kamili jioni

IYK Columbus, OhioMchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga Karibu tovuti ya Ibada ya Kiswahili bonyeza hapa: www.iykcolumbus.org Pamoja na kwa umoja tukue na kuimarika katika Misingi Imara ya Kiimani na kudumisha Upendo ndani ya Utamaduni wetu!TUTAENDELEA NA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA UPENDO KWA AJILI YA NCHI YA TANZANIA KWA WAKATI HUU WA UCHAGUZI MKUU.MUNGU IBARIKI TANZANIA! 

9 years ago

Michuzi

Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Kusifu na Kuabudu Jumapili hii 20 Septemba 2015 Kuanzia saa kumi kamili alasiri

Karibu tovuti ya Ibada ya Kiswahili bonyeza hapa: www.iykcolumbus.orgPamoja na kwa umoja tukue na kuimarika katika Misingi Imara ya Kiimani na kudumisha Upendo ndani ya Utamaduni wetu!
TUTAENDELEA NA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA UPENDO KWA AJILI YA NCHI YA TANZANIA KWA WAKATI HUU WA UCHAGUZI MKUU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA! 

9 years ago

Vijimambo

Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Kusifu na Kuabudu Jumapili hii 20 septemba 2015 Kuanzia saa kumi kamili jioni

IYK Columbus, OhioMchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga Karibu tovuti ya Ibada ya Kiswahili bonyeza hapa: www.iykcolumbus.org Pamoja na kwa umoja tukue na kuimarika katika Misingi Imara ya Kiimani na kudumisha Upendo ndani ya Utamaduni wetu!TUTAENDELEA NA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA UPENDO KWA AJILI YA NCHI YA TANZANIA KWA WAKATI HUU WA UCHAGUZI MKUU.MUNGU IBARIKI TANZANIA! 

10 years ago

Michuzi

Karibuni Ibada ya Kiswahili - Jumapili hii Aprili 19,2015 Kuanzia saa kumi kamili jioni Columbus, ohio

***Mchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga******www.iykcolumbus.org**

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani