Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu akutwa na viungo vya albino

>Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga inawashikilia watu watano, akiwamo mwalimu wa shule ya msingi na mwanamke mmoja, kwa tuhuma za kukutwa na viungo vya albino wakiwa katika harakati za kutaka kuviuza wilayani Nzega na Kahama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Siri yafichuka viungo vya albino

Kila kiungo kimoja cha ‘albino’, huuzwa kwa bei kubwa, hali inayotajwa kuwa kiini cha kukithiri kwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, mahakama mkoani Geita ilielezwa jana.

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

10 years ago

GPL

MWALIMU AKUTWA AMEFUNGWA MINYORORO KANISANI

Ndugu wa mtu anayedaiwa kuwa ni mlemavu wa akili, Galus Focus Nguruwe (35) ambaye ni mwalimu wa sekondari moja mjini Morogoro, wamelituhumu Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship lililopo Boko Magengeni jijini Dar kuwa wamemfunga mnyororo ndugu yao huyo kwa miezi nane mfululizo. Mwalimu Galus Focus Nguruwe akiwa amefungwa mnyororo Kwa mujibu wa dada wa Galus, Piencia Focus, ndugu yao huyo alichukuliwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Albino wazidi kukatwa viungo

Katavi. Mwanamke mmoja mwenye ulemavu wa ngozi, Remi Luchoma (30), Mkazi Kijiji cha Mwamachoma, wilayani Mlele amekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana na kutokomea nacho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Albino 5 Tz warejeshewa viungo Marekani

Watoto 5 wa Tanzania wenye ulemavu wa ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa viungo bandia Marekani.

 

11 years ago

Mwananchi

Albino auawa, wauaji watoweka na viungo

Watu wasiojulikana mkoani Simiyu wamemuua kwa kumkatakata mapanga mlemavu wa ngozi (albino), Mughu Lugata (40) huku wakitoweka na baadhi ya viungo vyake.

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa viungo, mifupa ya albino

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kagera, Henry MwaibambeWATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).

 

9 years ago

BBCSwahili

Watoto Albino wapatiwa viungo marekani

Watoto watano wa Tanzania wenye ulemavu wa Ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa mikono na miguu ya bandia

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Mtoto Albino akutwa ameuwawa kikatili

 

10

Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Joseph Konyo pichani.(Picha na Maktaba)

Mwili wa mtoto wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyeporwa mikononi mwa mama yake juzi Mkoani Geita, umekutwa jana jioni ukiwa umekatwa miguu na mikono yote na kufukiwa ardhini kwenye hifadhi ya msitu wa Biharamulo, Wilayani Chato.

Imethibitishwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.

R.I.P Yohana Bahati

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani