Watoto Albino wapatiwa viungo marekani
Watoto watano wa Tanzania wenye ulemavu wa Ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa mikono na miguu ya bandia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Aug
Albino 5 Tz warejeshewa viungo Marekani
10 years ago
Mwananchi15 May
Albino wazidi kukatwa viungo
10 years ago
Mwananchi23 May
Mwalimu akutwa na viungo vya albino
10 years ago
Habarileo25 Mar
Mbaroni kwa viungo, mifupa ya albino
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Siri yafichuka viungo vya albino
11 years ago
Mwananchi14 May
Albino auawa, wauaji watoweka na viungo
11 years ago
GPL
ALBINO AUAWA, ACHUKULIWA VIUNGO VYAKE HUKO SIMIYU
11 years ago
Michuzi
KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA



Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Watoto Yatima wsa kituo cha Valentine Children Home wapatiwa huduma za upimaji wa afya zao bure!
Muhudumu wa afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo tandika Dar es salaam Bi, Latifa Masasi wa pili akimpima afya mtoto Lovenes Masawe kulia ni nesi Mary Hongoli
Muhudumu wa afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo tandika Dar es salaam Bi, Latifa Masasi wa pili mpima mtoto Nuru Edward wa kituo cha kulea watoto yatima cha Valentine children home kilichopo yombo buza kulia ni mtoto Clara Olimpia nae akihudumiwa na nesi Mary Hongoli
watoto waliojitokezwa...