Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWALIMU AKUTWA AMEFUNGWA MINYORORO KANISANI

Ndugu wa mtu anayedaiwa kuwa ni mlemavu wa akili, Galus Focus Nguruwe (35) ambaye ni mwalimu wa sekondari moja mjini Morogoro, wamelituhumu Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship lililopo Boko Magengeni jijini Dar kuwa wamemfunga mnyororo ndugu yao huyo kwa miezi nane mfululizo. Mwalimu Galus Focus Nguruwe akiwa amefungwa mnyororo Kwa mujibu wa dada wa Galus, Piencia Focus, ndugu yao huyo alichukuliwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

CHATU AZUA KIZAAZAA ARUSHA AINGIA KWENYE NYUMBA YA MTU AKUTWA AMEFUNGWA KITAMBAA CHEUPE

Wakazi wa eneo la Sakina mkoani Arusha siku ya jana walipatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.Hiki ndicho kitambaa alichokutwa nacho chatu huyo.Source:Arusha Yetu

 

10 years ago

GPL

NDOA YA MWALIMU AIBU KANISANI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Makurumla iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Maria Samuel Hoza, amejikuta akiaibika vibaya baada ya mumewe, Bryton Muhanje kumkuta akiwa katika hatua za mwisho za kufunga ndoa nyingine kwenye Kanisa Katoliki la Kigogo Luhanga, Jumamosi iliyopita. Mwalimu wa Shule ya Msingi Makurumla, Maria Samuel Hoza akiwa katika harakati za kufunga ndoa yake...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwalimu akutwa na viungo vya albino

>Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga inawashikilia watu watano, akiwamo mwalimu wa shule ya msingi na mwanamke mmoja, kwa tuhuma za kukutwa na viungo vya albino wakiwa katika harakati za kutaka kuviuza wilayani Nzega na Kahama.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwalimu sekondari auawa kanisani maombi

Watu wasiojulikana wamemuua Mwalimu Dionizi Ng’wandu wa Shule ya Sekondari Kagemu iliyopo nje kidogo ya Mji wa Bukoba na kumkata mguu mtu mwingine wakati wakifanya maombi kanisani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapalala akumbuka minyororo aliyofungwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, James Mapalala amekumbushia minyororo aliyofungwa wakati akidai mfumo wa vyama vingi, akisema kwamba haiwezi kumrudisha tena CCM.

 

10 years ago

Mwananchi

Seretse Khama, mpambanaji aliyevunja minyororo ya ubaguzi

Miongoni mwa wapigania Uhuru ambao Afrika haitawasahau ni Seretse Khama, aliyewahi kuwa Rais wa Botswana kuanzia mwaka 1966 hadi alipofariki kwa saratani mwaka 1980.

 

11 years ago

Bongo5

Exclusive Pics: Damu, Minyororo na Vinyago — Video ya ‘Mr Nay’ inatisha

Weka mbali na watoto, video ya ‘Mr Nay’ inatisha. Nay wa Mitego anayefahamika kwa kufanya mambo nje ya Kumi na Nane kama Weusi, yupo nchini Kenya ambako amekamilisha kushoot video ya ngoma yake mpya na muongozaji Kelvin Bosco Jr. Mfalme Nay? Katika picha ambazo Bongo5 imezipata exclusively kutoka Kenya, rapper huyo anaonekana kushoot video kwenye […]

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo

Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.

 

11 years ago

Michuzi

Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda  Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani