Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA MWALIMU AIBU KANISANI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Makurumla iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Maria Samuel Hoza, amejikuta akiaibika vibaya baada ya mumewe, Bryton Muhanje kumkuta akiwa katika hatua za mwisho za kufunga ndoa nyingine kwenye Kanisa Katoliki la Kigogo Luhanga, Jumamosi iliyopita. Mwalimu wa Shule ya Msingi Makurumla, Maria Samuel Hoza akiwa katika harakati za kufunga ndoa yake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwalimu sekondari auawa kanisani maombi

Watu wasiojulikana wamemuua Mwalimu Dionizi Ng’wandu wa Shule ya Sekondari Kagemu iliyopo nje kidogo ya Mji wa Bukoba na kumkata mguu mtu mwingine wakati wakifanya maombi kanisani.

 

10 years ago

GPL

MWALIMU AKUTWA AMEFUNGWA MINYORORO KANISANI

Ndugu wa mtu anayedaiwa kuwa ni mlemavu wa akili, Galus Focus Nguruwe (35) ambaye ni mwalimu wa sekondari moja mjini Morogoro, wamelituhumu Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship lililopo Boko Magengeni jijini Dar kuwa wamemfunga mnyororo ndugu yao huyo kwa miezi nane mfululizo. Mwalimu Galus Focus Nguruwe akiwa amefungwa mnyororo Kwa mujibu wa dada wa Galus, Piencia Focus, ndugu yao huyo alichukuliwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

"Muumbaji wa ndoa ni Mungu peke yake............Hakuna mwalimu wa ndoa hapa duniani" - Tumaini Kilangwa

Tumaini Kilangwa au da Tuma, yeye ni mama wa watoto wawili, mke, na mfanyabiashara. katika mahojiano haya ambayo yote amerekodi na unaweza sikiliza (audio), ameongelea mambo mabali mbali kuanzia alipotokea, maisha yake ya elimu, maisha kama mama, maisha kama mke, na maisha kama mfanyabiashara. Ni mahojiano mazuri sana ambayo yanafundisha na kutia moyo kuwa hakuna lisilo wezekana kwa Mungu  (kama unaamini kuna Mungu). Tafadhali chukua muda wako umsikilize wala hutojutia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ndoa yakwama kanisani Dar

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Parokia ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji Luhanga, Padri Richard D’souza, ameshindwa kufungisha ndoa baada ya...

 

11 years ago

GPL

LAKI 3 YAZUIA NDOA KANISANI

Na Mwandishi Wetu, Mbeya
KATIKA  hali  isiyotarajiwa na wengi,  harusi iliyokuwa ifungwe jijini Mbeya Jumamosi iliyopita kati ya bwana harusi, Fadhili Mahenga (28) na bi. harusi Naomi Ngoje imeshindikana  baada ya mume mtarajiwa kushindwa kumalizia mahari ya shilingi laki tatu. Tukio hilo limetokea katika Kitongoji cha Makunguru, Mtaa wa Ilolo Jijini Mbeya na kusababisha sintofahamu  kwa familia ya mume mtarajiwa....

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa kujadili ndoa na talaka kanisani

Papa Francis amefungua rasmi mkutano wa viongozi wakuu wa kanisa hilo kujadili maswala kama vile uzazi wa mpango, talaka na ndoa za jinsia moja.

 

10 years ago

GPL

MKE AANGUA KILIO KANISANI MUMEWE AKIFUNGA NDOA YA PILI

Shani Ramadhani na Harun Sanchawa
DHAMBI? Neema Pangani, mkazi wa jijini Dar alijikuta akiangua kilio kanisani wakati mumewe Daniel Mhina alipokuwa anamuoa mke wa pili, Irene Lema, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Neema Pangani, akilia baada ya mumewe kuoa mke wa pili. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita katika Kanisa la Evangelistic Assemblies of God (EAGT) Bonde la Baraka lililopo maeneo ya Alimaua Kijitonyama...

 

10 years ago

GPL

AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA

Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha  kwa majadala mawili,  AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani