Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE AANGUA KILIO KANISANI MUMEWE AKIFUNGA NDOA YA PILI

Shani Ramadhani na Harun Sanchawa
DHAMBI? Neema Pangani, mkazi wa jijini Dar alijikuta akiangua kilio kanisani wakati mumewe Daniel Mhina alipokuwa anamuoa mke wa pili, Irene Lema, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Neema Pangani, akilia baada ya mumewe kuoa mke wa pili. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita katika Kanisa la Evangelistic Assemblies of God (EAGT) Bonde la Baraka lililopo maeneo ya Alimaua Kijitonyama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAINDA AANGUA KILIO KANISANI

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
OOHHOO! Mwigizaji mkubwa wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kuangua kilio ‘laivu’ kanisani kisa kubanwa na waandishi wa Global Publishers juu ya madai ya kupora waume za watu na ishu ya kutaka kuolewa na mchungaji hivyo kuzua ‘kitimbwili’ kwenye nyumba hiyo ya Mungu. Mwigizaji mkubwa wa sinema za Kibongo, Ruth Suka...

 

10 years ago

Mwananchi

Mke wa Cheka aangua kilio kortini

Wakati mke wa bondia maarufu nchini, Francis Cheka (32), Toshi Asenga akimwaga machozi mahakamani mumewe alipohukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa fidia ya Sh1 milioni, mabondia wa zamani, wadau wengine wameshikwa butwaa.

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI


Na Bashir YAkub
Sura  ya  29  Sheria  ya ndoa  imeeleza  mambo  mengi . Baadhi  yanajulikana  na  baadhi  hayajulikani.  Wakati  mwingine  hata  baadhi  ya yanayojulikana   haijulikani  kama  yameruhusiwa  na  sheria  au  yanafanyika  kimazoea.  Na  hapa  ndipo  inapoibukia  migogoro mingi  ambayo  tunayoshuhudia  mahakamani  na  hata nje  ya  mahakama. Aidha  sheria  hii  imebeba  mambo  mengi  ya  talaka, matunzo  ya  watoto  na  mwanamke, jinai  za  unyanyasaji  wa  kijinsia, ndoa  haramu ...

 

10 years ago

GPL

WEMA AANGUA KILIO!

Na Shakoor Jongo KITUKO! Beautiful Onyinye, Wema Abraham Sepetu ametoa kioja cha aina yake kwa kuangua kilio baada ya kuambiwa kuwa mbwa wake aliyepotea amepatikana na alipokwenda kumfuata akaambulia patupu. Mbwa wa staa wa filamu Bongo, Wema Abraham Sepetu aliyepotea.
Tukio hilo lililowaacha watu midomo wazi lilitokea juzikati maeneo ya kishua, Masaki jijini Dar, ambapo staa huyo alionekana kukatishwa tamaa kwani alipokuwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond aangua kilio ukumbini!

IMG_7514

Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.

Musa mateja

SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda, twende na Ijumaa Wikienda.

Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA AANGUA KILIO UWANJANI

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Shamsa Ford  hivi karibuni alijikuta akiangua kilio uwanjani baada ya timu yake anayoishabikia ya Yanga kufungwa mabao mawili bila. Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Uwanja wa Taifa ambapo kulikuwa na mechi ya Nani Mtani Jembe 2 iliyozichezesha timu za Simba na Yanga ambapo Shamsa alijikuta akilia kama mtoto baada ya timu yake...

 

9 years ago

GPL

PENNY AANGUA KILIO BSS

Mtangazaji matata wa Bongo Star Search (BSS 2015), Penniel Mungilwa ‘Penny’. Imelda Mtema MTANGAZAJI matata wa Bongo Star Search (BSS 2015), Penniel Mungilwa ‘Penny’ wiki iliyopita alijikuta akiangua kilio bila aibu baada ya majaji wa shindano hilo kutaja washiriki waliokuwa wakiaga. Akipiga stori Amani, Penny alifafanua sababu ya kushindwa kujizuia kuangua kilio ni kutokana na kwamba mara nyingi...

 

9 years ago

Bongo Movies

Ray Aangua Kilio Ukumbini!

BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba.

Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo washiriki 10 ndiyo walikuwa wakiwania kitita cha shilingi milioni 50.

Mara baada ya mshindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani