LAKI 3 YAZUIA NDOA KANISANI
![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCiYg2CV44nQBq3clcaRUNSrVylun*17OXWQnNSUvUkYI9j5Sttt*yCtZO3NhNbScR1HZ0tcDbyYQ4aHS53aZhin/LAKI3.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu, Mbeya KATIKA hali isiyotarajiwa na wengi, harusi iliyokuwa ifungwe jijini Mbeya Jumamosi iliyopita kati ya bwana harusi, Fadhili Mahenga (28) na bi. harusi Naomi Ngoje imeshindikana baada ya mume mtarajiwa kushindwa kumalizia mahari ya shilingi laki tatu. Tukio hilo limetokea katika Kitongoji cha Makunguru, Mtaa wa Ilolo Jijini Mbeya na kusababisha sintofahamu kwa familia ya mume mtarajiwa....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vD-hYj2mu0R5*O*EdicAJ*Nc2jud3oX5tRsHGlNXVhxQ4t6zNWQFNdhczs324mO4g1TkYYZ7v*vUD8-0ok*mXwSOoI1QkTZO/mwalimu.jpg)
NDOA YA MWALIMU AIBU KANISANI
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Ndoa yakwama kanisani Dar
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Parokia ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji Luhanga, Padri Richard D’souza, ameshindwa kufungisha ndoa baada ya...
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Papa kujadili ndoa na talaka kanisani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1bpm*HH-DycXKB5KgnqbMwYsfJKvkqrHJGTpx7MWWpWaUWOEnOhTp7qfkQJjauM*DrusdV-y0LWKXZPeyZc*zxC/334.jpg?width=650)
MKE AANGUA KILIO KANISANI MUMEWE AKIFUNGA NDOA YA PILI
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga atembelea AICC na Laki Laki Arusha
![](http://2.bp.blogspot.com/-bm_xZvGMFNk/Vnd9mWghqDI/AAAAAAAAFOw/eMl7_1caneA/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-SKWwrkc4f64/Vnd9sUlaLII/AAAAAAAAFO4/nPnpl143xhk/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5fUxeKnX1Zc/Vnd9v1vZAFI/AAAAAAAAFPA/RgXmS-Y7guE/s640/3.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpzAzK1LW*BBQhV332HGY-L*VB3gWD3pKxuUJVAPERC1xE2kFD6YPSH-pdZpGcAwqvOE0t2xVO5riIb-JE34JiOx/lulu.jpg?width=650)
MAHARI YA LULU LAKI 8
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Mfanyabiashara aporwa laki 8/- Ngara
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...