CHATU AZUA KIZAAZAA ARUSHA AINGIA KWENYE NYUMBA YA MTU AKUTWA AMEFUNGWA KITAMBAA CHEUPE
Wakazi wa eneo la Sakina mkoani Arusha siku ya jana walipatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.
Hiki ndicho kitambaa alichokutwa nacho chatu huyo.
Source:Arusha Yetu
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1coOjqIHyfOMfo*cI2OKjOg0QbVIf9fuRR0p2578pm6tg0bbBTbgRQev-6br1Eg3SbzDSNOe*KMVj62rHa-ciSJY/CHA2.jpg?width=550)
CHATU MKUBWA AUAWA ARUSHA JIONI HII, AFUNGWA KITAMBAA CHENYE MANENO YA KIARABU!
   Chatu akiwa anatambaa pembeni ya ukuta kuingia ndani ya nyumba hiyo huku wananchi wakimshangaa…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Magufuli.jpg)
YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: MAGUFULI AZUA KIZAAZAA MORO
Ziara zake za kushtukiza... Magufuli azua kizaazaa Moro -Kimenuka, Maafisa wa Mahakama wahenyeshwa -Kweli hapa kazi tu! -Unataka kufahamu tukio zima lilikuwaje? Ray C arekodiwa Video ya X -Mwenyewe akiri -Afunguka ya moyoni kuhusu tukio hilo -Unataka kujua ilikuwaje, video hiyo nani kamrekodi na imesambaaje? Mke amfanyia mwanaye umafia -Amfungia ndani kwa saa tano usiku -Atokomea -Majirani wamuokoa mtoto -Unataka kufahamu ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYinyyYX32-PcZKDrMyZiUSFR3EQs1GaRDeLZT8mhD1HeefvuyTHc2xift3ieDkTD1IrIfEWoREncPJfz9fgZeHi/mwalimu.jpg)
MWALIMU AKUTWA AMEFUNGWA MINYORORO KANISANI
Ndugu wa mtu anayedaiwa kuwa ni mlemavu wa akili, Galus Focus Nguruwe (35) ambaye ni mwalimu wa sekondari moja mjini Morogoro, wamelituhumu Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship lililopo Boko Magengeni jijini Dar kuwa wamemfunga mnyororo ndugu yao huyo kwa miezi nane mfululizo. Mwalimu Galus Focus Nguruwe akiwa amefungwa mnyororo Kwa mujibu wa dada wa Galus, Piencia Focus, ndugu yao huyo alichukuliwa na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hh59aELnj78/Xmev5gpWX6I/AAAAAAALieo/MmErO7IBbE0FAuuqKW8txIcRa3P7uFIZACLcBGAsYHQ/s72-c/1960604_RPC-1.jpg)
WATOTO WENYE UMRI WA MIAKA MITANO HADI 12 RAIA WA ETHIOPIA WAKUTWA WAMEHIFADHIWA KWENYE NYUMBA YA MTU BINAFSI MKOANI ARUSHA ...POLISI WATOA NENO
![](https://1.bp.blogspot.com/-hh59aELnj78/Xmev5gpWX6I/AAAAAAALieo/MmErO7IBbE0FAuuqKW8txIcRa3P7uFIZACLcBGAsYHQ/s400/1960604_RPC-1.jpg)
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watoto sita raia wa Ethiopia akiwemo mwenye umri wa miaka mitano baada ya kukuta wamehifadhiwa kwenye nyumba ya mtu binafsi eneo la Ngureso katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Akizungumzia tukio hilo leo Kamanda wa Polisi omkoani hapa Jonathan Shanna amesema kuwa watoto hao wenye umri wa miaka mitano hadi 12 waligundulika Februari 20 mwaka huu kuhifadhiwa nyumbani kwa Amina Ally na Mohammed Mahamudu mkazi wa Ngusero...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyVuOup53NdzxQA7IMpZSUEYAtJaaYZd3y71yCnipk3RT51lwm2IDD*HLTyxARBc1tMTUxd5ivUKtGJX*yEbZBDh/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND AZUA KIZAAZAA!
Stori: Richard Bukos aliyekuwa Kagera UNAZI! Kundi kubwa la vijana wa kike na kiume, mwanzoni mwa wiki iliyopita walizua kizaazaa baada ya kumgombea kumuona kwa karibu na kutaka kuzungumza na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ mara baada ya kumaliza kutumbuiza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli uliofanyika katika Viwanja vya Gymkhana mjini...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pauKaB96wETMAAdnMwF-hXW87yNwf7pPw8AeDPPfqXwL3szifq5TnsMuxcPq3LksCgiJeapp-saty9*NyLdbwljW6tPHCR-i/FrontIjumaa.jpg?width=650)
MAGUFULI AZUA KIZAAZAA MORO
Makarani na mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Morogoro wakifanya usafi katika ofisi za mahakama hiyo sanjari na kupanga mafaili vizuri. Dustan Shekidele, MORO HAPA kazi tu! Zile ziara za kushtukiza (bila taarifa) zinazofanywa na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano za Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ zimezua kizaazaa mjini hapa, hususan katika Mahakama ya Mwanzo ya Morogoro. Karani akiwa amevalia kanga wakati...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8bjYRXMjl943f0JsgDB3kDPpZYH4-*Zk75vAfHnkUHPzuDE5bOUYgLVEewgJ6T*BOO513lCSFzE1nThW81koL5k/FRONT.gif?width=650)
ZARI AZUA KIZAAZAA MSIBANI
Dustan Shekidele, Morogoro
Kazi ipo! Mwandani wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ juzikati alizua kizaazaa kisa ujauzito alipohudhuria kwenye msiba wa aliyekuwa bosi wa Tip Top Connection, Abdul Taletale ‘Abdul Bonge’ aliyefariki dunia ghafla wikiendi iliyopita. Mwandani wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNXcnVqa-rsxNwnc-zFOT4nZ9cFkN2xSVkcoVBEODGEo2qLiwGktKLHtuZV2BDYgLEP2WFjVBV5cD1Y4Ua6y2aAs/wema.jpg)
WEMA AZUA KIZAAZAA CHINA
Na Mwandishi wetu
KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani nchini China.
Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye gereza lililopo Mji wa Macau ambapo Wema aliambatana na meneja wake, Martin Kadinda pamoja na shemeji yake, Petit Man. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DQ7qZAeEmlrhYtm8z91Y6QJRZkPMYLoglH3W3ynPsZ8jjBzNrOOq0be5symOe-o9He7m5WplOykHNEML51J9sT1/wolper.gif?width=650)
WOLPER AZUA KIZAAZAA FREEMASON
Mwandishi Wetu
KATIKA toleo lililopita la gazeti hili, ukurasa wake wa pili kulikuwa na habari yenye kichwa; Wolper: Mimi ni Freemason kwa muda mrefu sasa. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1HyK2oY
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania