ZARI AZUA KIZAAZAA MSIBANI
![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8bjYRXMjl943f0JsgDB3kDPpZYH4-*Zk75vAfHnkUHPzuDE5bOUYgLVEewgJ6T*BOO513lCSFzE1nThW81koL5k/FRONT.gif?width=650)
Dustan Shekidele, Morogoro Kazi ipo! Mwandani wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ juzikati alizua kizaazaa kisa ujauzito alipohudhuria kwenye msiba wa aliyekuwa bosi wa Tip Top Connection, Abdul Taletale ‘Abdul Bonge’ aliyefariki dunia ghafla wikiendi iliyopita. Mwandani wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyVuOup53NdzxQA7IMpZSUEYAtJaaYZd3y71yCnipk3RT51lwm2IDD*HLTyxARBc1tMTUxd5ivUKtGJX*yEbZBDh/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND AZUA KIZAAZAA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNXcnVqa-rsxNwnc-zFOT4nZ9cFkN2xSVkcoVBEODGEo2qLiwGktKLHtuZV2BDYgLEP2WFjVBV5cD1Y4Ua6y2aAs/wema.jpg)
WEMA AZUA KIZAAZAA CHINA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pauKaB96wETMAAdnMwF-hXW87yNwf7pPw8AeDPPfqXwL3szifq5TnsMuxcPq3LksCgiJeapp-saty9*NyLdbwljW6tPHCR-i/FrontIjumaa.jpg?width=650)
MAGUFULI AZUA KIZAAZAA MORO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DQ7qZAeEmlrhYtm8z91Y6QJRZkPMYLoglH3W3ynPsZ8jjBzNrOOq0be5symOe-o9He7m5WplOykHNEML51J9sT1/wolper.gif?width=650)
WOLPER AZUA KIZAAZAA FREEMASON
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Mtoto anayedaiwa kugeuka nyoka azua kizaazaa Geita
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Magufuli.jpg)
YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: MAGUFULI AZUA KIZAAZAA MORO
11 years ago
CloudsFM06 Jun
CHATU AZUA KIZAAZAA ARUSHA AINGIA KWENYE NYUMBA YA MTU AKUTWA AMEFUNGWA KITAMBAA CHEUPE
Wakazi wa eneo la Sakina mkoani Arusha siku ya jana walipatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.
Hiki ndicho kitambaa alichokutwa nacho chatu huyo.
Source:Arusha Yetu
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P0y0X6852Mc/default.jpg)
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...