Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


4 mbaroni kwa kuua wazee 3 wakidaiwa kuzuia mvua

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWATU wanne akiwemo Mwenyekiti wa Kijiji cha Ihanda na wazee wawili wa kimila wa kijiji hicho wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kuhusu kuuawa kwa wazee wawili mtu na mkewe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

6 mbaroni kwa kushambulia, kuua

WATU sita akiwemo Mwenyekiti wa Mtaa, wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kushambulia mtu mmoja kwa fimbo na mawe hadi kumuua. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi alisema miongoni mwa watuhumiwa hao, pia wamo ndugu watatu wa familia moja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni wakidaiwa kumuua kikongwe

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua Edna Kajinga (70) mkazi wa Kijiji cha Katobe, wilayani Rungwe. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, alisema...

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kuzuia bintiwe mtihani la 7

Wanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Mnazi Mmoja, Dar es Salaam wakishangilia baada ya kumaliza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi shuleni hapo jana. Wanafunzi wa darasa la saba nchini kote, walimaliza mtihani huo jana, waliofanya kwa siku mbili. (Na Mpigapicha Wetu).WAKATI wanafunzi wa darasa la saba juzi na jana walifanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, mzazi mmoja mkazi wa hapa, amejikuta akiingia matatani na vyombo vya dola kutokana na kumzuia binti wake asifanye mtihani, kwa kile kinachoelezwa alihofia akifaulu angekwamisha mpango wake wa kutaka kumuozesha.

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa tuhuma za kuua mke

POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora inamshikilia Athuman Kiula (49) kwa tuhuma za kumuua mke wake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa tuhuma za kuua askari

JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikiliwa watu wawili wakazi wa Murubona Wilayani Kasulu kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo askari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jaffar Mohamed,...

 

10 years ago

GPL

MTANGAZAJI MBARONI KWA KUTAKA KUUA

Stori: Deogratius Mongela Msala! RB namba WH/RB/6335/2014-SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI kwenye Kituo cha Polisi cha Wazo Hill, Tegeta jijini Dar, imemtia mbaroni mtangazaji maarufu Bongo aitwaye Hanifa Hamidu ‘Lady Hanifa’ na mwenzake aliyetajwa kwa jina moja la Aneth kwa madai ya kutaka kumuua mhudumu wa baa aliyetambulika kwa jina la Aika Andrew (32). Mtangazaji maarufu Bongo aitwaye Hanifa Hamidu anayetuhumiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wauawa kwa tuhuma ya kuzuia mvua kunyesha

WATU wawili wa familia moja wameuawa wilayani Maswa mkoani Simiyu, kwa kupigwa na wananchi waliojichukulia sheria mikononi, wakiwatuhumu kuzuia mvua kunyesha hivyo kusababisha ukame kwenye eneo lao.

 

9 years ago

Michuzi

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali

Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dereva basi la Muro mbaroni kwa kuua

JESHI la Polisi mkoani Iringa linamshikilia dereva wa basi la Prince Muro, Said Mtatifikolo kwa tuhuma za kumuua mtembea kwa miguu baada ya kumgonga. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani