MTANGAZAJI MBARONI KWA KUTAKA KUUA
Stori: Deogratius Mongela Msala! RB namba WH/RB/6335/2014-SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI kwenye Kituo cha Polisi cha Wazo Hill, Tegeta jijini Dar, imemtia mbaroni mtangazaji maarufu Bongo aitwaye Hanifa Hamidu ‘Lady Hanifa’ na mwenzake aliyetajwa kwa jina moja la Aneth kwa madai ya kutaka kumuua mhudumu wa baa aliyetambulika kwa jina la Aika Andrew (32). Mtangazaji maarufu Bongo aitwaye Hanifa Hamidu anayetuhumiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Feb
6 mbaroni kwa kushambulia, kuua
WATU sita akiwemo Mwenyekiti wa Mtaa, wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kushambulia mtu mmoja kwa fimbo na mawe hadi kumuua. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi alisema miongoni mwa watuhumiwa hao, pia wamo ndugu watatu wa familia moja.
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Sakata la Gwajima: Wafuasi wake 15 mbaroni kwa madai ya kutaka kumtorosha
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona...
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mbaroni kwa tuhuma za kuua mke
POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora inamshikilia Athuman Kiula (49) kwa tuhuma za kumuua mke wake.
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Mbaroni kwa tuhuma za kuua askari
JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikiliwa watu wawili wakazi wa Murubona Wilayani Kasulu kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo askari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jaffar Mohamed,...
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Dereva basi la Muro mbaroni kwa kuua
JESHI la Polisi mkoani Iringa linamshikilia dereva wa basi la Prince Muro, Said Mtatifikolo kwa tuhuma za kumuua mtembea kwa miguu baada ya kumgonga. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
11 years ago
KwanzaJamii06 Aug
INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAYE
10 years ago
Habarileo04 Mar
4 mbaroni kwa kuua wazee 3 wakidaiwa kuzuia mvua
WATU wanne akiwemo Mwenyekiti wa Kijiji cha Ihanda na wazee wawili wa kimila wa kijiji hicho wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kuhusu kuuawa kwa wazee wawili mtu na mkewe.
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Mbaroni kwa kuua mwanafunzi kwa moto
11 years ago
Mwananchi07 Aug
UKATILI: Inspekta wa Polisi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanaye