Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama mzazi adaiwa kumuuza mwanaye kwa Sh70,000

Monduli. Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye

Baba mzazi na mkazi wa Kijiji cha Sima wilayani hapa mkoani Mwanza anadaiwa kumuua kikatili mwanaye Maneno Faida (4) kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje.

 

11 years ago

GPL

MAMA MZAZI AMLIPUA MOTO MWANAYE

Stori: Makongoro Oging’
Dunia haina huruma! Mtoto Samwel Paulo (13), anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Amani wilayani Ilala, Dar, amelazwa wodi ya watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akiendelea kuuguza majeraha yaliyotokana na kile kinachodaiwa ni kulipuliwa kwa moto na mama yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Doricus Iganga. Mtoto Samwel Paulo akiwa hospital baada ya kufanyiwa kitendo cha kinyama na mama...

 

10 years ago

GPL

MAMA ADAIWA KUMCHANA MWANAYE VIWEMBE SEHEMU ZA SIRI!

Na Gladness Mallya na Shani Ramadhani
Inauma sana! RB namba KMR/RB/7911/2014-KUJERUHI iliyopo kwenye Kituo cha Polisi cha Mbezi-Kwayusuph jijini Dar, inamshikilia mama aliyetajwa kwa jina moja la Schola , mkazi wa Kibanda cha Mkaa, Mbezi kwa shitaka la kumchana kwa viwembe mwanaye Mwajuma (6) aliyezibwa usoni kwa sababu ya kukojoa kitandani. Mtoto Mwajuma aliyechanjwa viwembe sehemu za siri na mama yake. Akizungumza kwa...

 

11 years ago

GPL

SHUMILETA ADAIWA KUMUUZA LUNGI KWA MWANAUME

Stori: HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi za nje kufanya biashara ya kujiuza, siri imevuja kuwa, staa wa filamu aliyepotea kwenye soko la filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ amedaiwa kumuuza msanii mwenzake wa kike, Lungi Maulanga kwa mwanaume aishie nchini India. Lungi Maulanga. Kwa mujibu wa chanzo makini, mchongo huo ulifanyika kupitia mtandao...

 

10 years ago

Mwananchi

Akiri kukutwa na noti bandia Sh70,000

Mkazi wa Rumala wilayani Ilemela, Erick Godwin (21) amekiri kukutwa na fedha bandia ambazo kama zingekuwa halisi zingekuwa na thamani ya Sh70,000, lakini akadai hakuwa anafahamu lolote.

 

10 years ago

GPL

MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI

Stori: Haruni Sanchawa
Tukisema dunia imekwisha,tutakuwa hatujafanya makosa maana matukio ya utesaji, unyayasaji na ukatili kwa watoto wachanga yamekuwa yakichukua kasi  kubwa ndani ya jamii. Mtuhumiwa Bhoke Steven (21) anayedaiwa kumfungia ndani mwanaye anayejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10). Hivi karibuni mama mmoja, Bhoke Steven (21) (pichani), mkazi wa Kitunda, wilayani Ilala, Dar es Salaam amejikuta matatani...

 

9 years ago

Mwananchi

Mama amchoma mwanaye kwa maji moto

Polisi mkoa wa Mara inamshikilia mwananke mmoja (jina tunalo) mkazi wa Bweri Manispaa ya Musoma kwa kosa la kumchoma mtoto wake mwenye miaka minne, kwa maji ya moto, mikono yote miwili baada ya kumtuhumu kuwa ameiba nyama jikoni.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzazi aeleza ukatili aliofanyiwa mwanaye

Jamal Salum (12), mtoto ambaye aliuawa na Mohamed Said (36) ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Awali na Madrasa ya Al Nur Al eneo la Mbagala Charambe Foma, inadaiwa alitobolewa macho kabla ya kuchinjwa na mtuhumiwa huyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baba adaiwa kumnyonga mwanaye

MTOTO Henry Juma, mwenye umri wa miezi saba, mkazi wa Migombani mjini Tunduma, wilayani Momba, mkoani hapa, amekutwa ameuawa kwa kunyongwa shingo na baba yake mzazi, Juma Venance, kisha mwili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani