Baba adaiwa kumnyonga mwanaye
MTOTO Henry Juma, mwenye umri wa miezi saba, mkazi wa Migombani mjini Tunduma, wilayani Momba, mkoani hapa, amekutwa ameuawa kwa kunyongwa shingo na baba yake mzazi, Juma Venance, kisha mwili...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye
Baba mzazi na mkazi wa Kijiji cha Sima wilayani hapa mkoani Mwanza anadaiwa kumuua kikatili mwanaye Maneno Faida (4) kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IGfeaQzOI3k/UyctQNp1CrI/AAAAAAAFUNw/W203hI1QEMU/s72-c/unnamed+(75).jpg)
Baba adaiwa kumuua mwanaye wa miaka 8 mkoani Njombe
![](http://2.bp.blogspot.com/-IGfeaQzOI3k/UyctQNp1CrI/AAAAAAAFUNw/W203hI1QEMU/s1600/unnamed+(75).jpg)
Njombe SACP Fulgence Ngonyani Na Edwin Moshi, Njombe Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia Bw. Yusufu Sadick Mkalile (33) kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaaa mwenyewe kwa kumziba pua na mdomo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani imesema kuwa mtuhumiwa alitenda mauaji hayo Machi 16 mwaka huu majira ya saa 03:20 asubuhi, ambapo alimziba pua na mdomo mwanaye huyo aitwaye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7ajnzhkLY9k6vghkYnBkuPejvKMybZGVj2acEImb9p8TTpvR9aNO*1IBeLWNpqEypcO4hf0sqQ2uhh9f4vf0Aja/e.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA KUMFICHA MWANAYE
Stori: Mayasa mariwata na Hamida hassan/Risasi Mchanganyiko
MSANII nyota wa miondoko ya Mduara, Snura Mushi aliyekuwa kimya kwa muda mrefu kufuatia kuwa na ujauzito, amerejea jijini Dar akitokea Mbeya alikojifungua mtoto wa kiume, lakini kukiwa na madai kwamba anamficha mwanaye asionekane kwa watu. Msanii nyota wa miondoko ya Mduara, Snura Mushi. “Namshangaa sana huyu mwenzetu sijui anachomfichia huyo mtoto ni kitu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZdLRTWtLaW0B7UTQHnLWUmgh5aZCLUJq0o4DJz1crpeu9tq5jYb7oE3-1dasZSRTOpIXr1kQURb49Hw1EbBXb-/mtotoviwembe.jpg)
MAMA ADAIWA KUMCHANA MWANAYE VIWEMBE SEHEMU ZA SIRI!
Na Gladness Mallya na Shani Ramadhani
Inauma sana! RB namba KMR/RB/7911/2014-KUJERUHI iliyopo kwenye Kituo cha Polisi cha Mbezi-Kwayusuph jijini Dar, inamshikilia mama aliyetajwa kwa jina moja la Schola , mkazi wa Kibanda cha Mkaa, Mbezi kwa shitaka la kumchana kwa viwembe mwanaye Mwajuma (6) aliyezibwa usoni kwa sababu ya kukojoa kitandani. Mtoto Mwajuma aliyechanjwa viwembe sehemu za siri na mama yake. Akizungumza kwa...
10 years ago
Mwananchi21 May
Mama mzazi adaiwa kumuuza mwanaye kwa Sh70,000
Monduli. Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVd1-hvLcAdDj5ZREmv1sT0LiceItyxvwmwD93Zmf8Wk4vQGGCtPQyyp2lIqfIjWB5SG2XtrlUjSYj77wZi*wifu/baba.jpg?width=650)
BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE
Stori: Mwandishi Wetu, KAHAMA
MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Majengo, Kahama mkoani Shinyanga, Said Siraji (13) anaendelea vizuri katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama alikolazwa baada ya kunusurika kifo kwa kuchinjwa shingoni na baba yake mzazi kwa madai ya kushindwa kumtibu mtoto huyo kwa matatizo yake ya afya. Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, Dokta Joseph Fwoma alisema Said anaendelea vizuri baada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*B180K2ZGEO4-uCqjaUfFJXP5EU5tM0XNFNb2nag05R5nGMAGGX2LU05CgQ3ly2b**EMy6oq2N1TadyTyoFoxwg/backAMANI.jpg?width=650)
BABA ALIVYOMNYONGA MWANAYE NA KUMZIKA
Na Mwandishi Wetu, Katavi
YULE mtoto wa umri wa mwaka mmoja na miezi miwili, Regina Geofrey aliyeuawa kikatili kwa kunyongwa kisha kuzikwa na baba yake mzazi, Geofrey Kilangwa ‘Simbaiwe’ (27) kwa kuwa alizaliwa akiwa ametanguliza makalio yake, amezidi kuibua maswali. Mtuhumiwa Geofrey Kilangwa ‘Simbaiwe’( katikati) aliyemuua mwanaye mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi miwili, Regina Geofrey. ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-SH5vFbeCgeVje-i6P4UrP1tRrAEYfGv43Mpz3q0uQMaM2t3yRvlkVD7uGcSjYagVROxttrTijWVC9ZjrzOfJ55/FRONTUWAZI.jpg)
BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE DAR!
Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
HUU ndiyo ukatili wa kutisha kufanywa na baba kwa mtoto wa kumzaa mwenyewe!
Ilikuwa vilio na simanzi kwa wakazi wa Mabibo Loyola jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, William Kasuga kuchinjwa hadi kichwa kutengana na kiwiliwili kitendo kinachodaiwa kufanywa na baba yake mzazi, Maneno Kasuga, Uwazi lina mkasa wote wa kusikitisha. Mtoto William Kasuga enzi za uhai wake. Tukio hilo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JQbgrkxt9ufR-VOe7vO0xN3z5Sr6Y48PCFFBVQbAoUu4*2he-GmL-799uLFLv4*2MhNsvHOHZXZyjkvwCzkl4zPouGZDb-k-/baba.jpg?width=650)
BABA AMRUSHA MWANAYE GHOROFANI
Mwandishi Wetu STRESS! Mtanzania mmoja aliyefahamika kwa jina la utani la Mabastola, amefariki dunia jijini Istanbul nchini Uturuki mwishoni mwa wiki iliyopita, baada ya kumrusha mwanaye kutoka katika ghorofa ya tatu ya jengo alilokuwa akiishi kisha na mwenyewe kujirusha na kufa papo hapo. Akiwa na mwanaye enzi za uhai wao. Chanzo chetu kilichopo jijini humo, kimeliambia gazeti hili kuwa kinacho taarifa za msiba huo ambao chanzo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania