BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE DAR!
![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-SH5vFbeCgeVje-i6P4UrP1tRrAEYfGv43Mpz3q0uQMaM2t3yRvlkVD7uGcSjYagVROxttrTijWVC9ZjrzOfJ55/FRONTUWAZI.jpg)
Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata HUU ndiyo ukatili wa kutisha kufanywa na baba kwa mtoto wa kumzaa mwenyewe! Ilikuwa vilio na simanzi kwa wakazi wa Mabibo Loyola jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, William Kasuga kuchinjwa hadi kichwa kutengana na kiwiliwili kitendo kinachodaiwa kufanywa na baba yake mzazi, Maneno Kasuga, Uwazi lina mkasa wote wa kusikitisha. Mtoto William Kasuga enzi za uhai wake. Tukio hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVd1-hvLcAdDj5ZREmv1sT0LiceItyxvwmwD93Zmf8Wk4vQGGCtPQyyp2lIqfIjWB5SG2XtrlUjSYj77wZi*wifu/baba.jpg?width=650)
BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JQbgrkxt9ufR-VOe7vO0xN3z5Sr6Y48PCFFBVQbAoUu4*2he-GmL-799uLFLv4*2MhNsvHOHZXZyjkvwCzkl4zPouGZDb-k-/baba.jpg?width=650)
BABA AMRUSHA MWANAYE GHOROFANI
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Baba adaiwa kumnyonga mwanaye
MTOTO Henry Juma, mwenye umri wa miezi saba, mkazi wa Migombani mjini Tunduma, wilayani Momba, mkoani hapa, amekutwa ameuawa kwa kunyongwa shingo na baba yake mzazi, Juma Venance, kisha mwili...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*B180K2ZGEO4-uCqjaUfFJXP5EU5tM0XNFNb2nag05R5nGMAGGX2LU05CgQ3ly2b**EMy6oq2N1TadyTyoFoxwg/backAMANI.jpg?width=650)
BABA ALIVYOMNYONGA MWANAYE NA KUMZIKA
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Ajali ya gari yaua baba, mwanaye
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Baba amzuia mwanaye Mbeya City
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
BABA mzazi wa kipa namba moja wa timu ya Mbeya City, Abdallah David, amemzuia mwanaye David Burhani, kuichezea timu hiyo kwa kile alichodai kupotezewa muda na timu hiyo.
Burhani alisimamishwa kwa muda usiojulikana na uongozi wa timu hiyo, siku chache baada ya kudaiwa kuihujumu timu hiyo katika mchezo wao dhidi ya Yanga.
Katika mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine mjini humo, Yanga walishinda mabao 3-1 huku Burhani akidaiwa kufanya uzembe wa kuruhusu...
11 years ago
Mwananchi26 May
Baba amuua mwanaye kwa adhabu kali
9 years ago
Raia Mwema03 Nov
Baba wa Magufuli alitaka mwanaye awe Padri
UMEWAHI kujiona ‘muasi’ wa ndoto za wazazi wako juu yako, wakitaka uwe hivi na wewe ukita uwe vil
Paul Sarwatt