Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABA ALIVYOMNYONGA MWANAYE NA KUMZIKA

Na Mwandishi Wetu, Katavi
YULE mtoto wa umri  wa mwaka mmoja na miezi miwili, Regina Geofrey aliyeuawa kikatili kwa kunyongwa kisha kuzikwa na baba yake mzazi, Geofrey Kilangwa ‘Simbaiwe’ (27) kwa kuwa alizaliwa akiwa ametanguliza makalio yake, amezidi kuibua maswali. Mtuhumiwa Geofrey Kilangwa ‘Simbaiwe’( katikati) aliyemuua mwanaye mwenye umri  wa mwaka mmoja na miezi miwili, Regina Geofrey. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Dully: Walioshindwa kumzika baba yangu wamenihuzunisha

ebbyNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi, Ebby Sykes juzi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini juzi mara baada ya kumalizika kwa mazishi ya baba yake, msanii huyo alisema ameshangaa jinsi gani wasanii wengi wamekuwa na roho za chuki.
Alisema matarajio yake yalikuwa kuwaona wenzake wakiungana naye katika wakati huo mgumu, lakini ni wachache sana walioonyesha moyo...

 

11 years ago

GPL

BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE

Stori: Mwandishi Wetu, KAHAMA
MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Majengo, Kahama mkoani Shinyanga, Said Siraji (13) anaendelea vizuri katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama alikolazwa baada ya kunusurika kifo kwa kuchinjwa shingoni na baba yake mzazi kwa madai ya kushindwa kumtibu mtoto huyo kwa matatizo yake ya afya. Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, Dokta Joseph Fwoma alisema Said anaendelea vizuri baada ya...

 

10 years ago

CloudsFM

Dully Sykes: Walioshindwa kumzika baba yangu wamenihuzunisha

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi, Ebby Sykes juzi jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jijini juzi mara baada ya kumalizika kwa mazishi ya baba yake, msanii huyo alisema ameshangaa jinsi gani wasanii wengi wamekuwa na roho za chuki. Alisema matarajio yake yalikuwa kuwaona wenzake wakiungana naye katika wakati huo mgumu, lakini ni wachache sana walioonyesha moyo wa upendo na...

 

9 years ago

GPL

BABA AMRUSHA MWANAYE GHOROFANI

Mwandishi Wetu STRESS! Mtanzania mmoja aliyefahamika kwa jina la utani la Mabastola, amefariki dunia jijini Istanbul nchini Uturuki mwishoni mwa wiki iliyopita, baada ya kumrusha mwanaye kutoka katika ghorofa ya tatu ya jengo alilokuwa akiishi kisha na mwenyewe kujirusha na kufa papo hapo. Akiwa na mwanaye enzi za uhai wao. Chanzo chetu kilichopo jijini humo, kimeliambia gazeti hili kuwa kinacho taarifa za msiba huo ambao chanzo...

 

10 years ago

GPL

BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE DAR!

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
HUU ndiyo ukatili wa kutisha kufanywa na baba kwa mtoto wa kumzaa mwenyewe!
Ilikuwa vilio na simanzi kwa wakazi wa Mabibo Loyola jijini Dar kufuatia mtoto  wa mwaka mmoja, William Kasuga kuchinjwa hadi kichwa kutengana na kiwiliwili kitendo kinachodaiwa kufanywa na baba yake mzazi, Maneno Kasuga, Uwazi lina mkasa wote wa kusikitisha. Mtoto William Kasuga enzi za uhai wake. Tukio hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baba adaiwa kumnyonga mwanaye

MTOTO Henry Juma, mwenye umri wa miezi saba, mkazi wa Migombani mjini Tunduma, wilayani Momba, mkoani hapa, amekutwa ameuawa kwa kunyongwa shingo na baba yake mzazi, Juma Venance, kisha mwili...

 

10 years ago

Mtanzania

Baba amzuia mwanaye Mbeya City

IMG_0686NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

BABA mzazi wa kipa namba moja wa timu ya Mbeya City, Abdallah David, amemzuia mwanaye David Burhani, kuichezea timu hiyo kwa kile alichodai kupotezewa muda na timu hiyo.

Burhani alisimamishwa kwa muda usiojulikana na uongozi wa timu hiyo, siku chache baada ya kudaiwa kuihujumu timu hiyo katika mchezo wao dhidi ya Yanga.

Katika mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine mjini humo, Yanga walishinda mabao 3-1 huku Burhani akidaiwa kufanya uzembe wa kuruhusu...

 

10 years ago

Mwananchi

Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye

Baba mzazi na mkazi wa Kijiji cha Sima wilayani hapa mkoani Mwanza anadaiwa kumuua kikatili mwanaye Maneno Faida (4) kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari yaua baba, mwanaye

>Watu wawili, baba na mwanawe, wamekufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea  Ikwiriri kuacha njia na kugonga kingo ya Mto Kihoi na kupinduka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani