Dully Sykes: Walioshindwa kumzika baba yangu wamenihuzunisha
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi, Ebby Sykes juzi jijini Dar es Salaam.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Dully: Walioshindwa kumzika baba yangu wamenihuzunisha
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi, Ebby Sykes juzi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini juzi mara baada ya kumalizika kwa mazishi ya baba yake, msanii huyo alisema ameshangaa jinsi gani wasanii wengi wamekuwa na roho za chuki.
Alisema matarajio yake yalikuwa kuwaona wenzake wakiungana naye katika wakati huo mgumu, lakini ni wachache sana walioonyesha moyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w04I4TPrbk6LpLatHqwLPNlSvHhaDa5OggxvD0wN2tMhqMy0VDiv--O4Ph*lS*5USks9fuMZlSDwe3eyDDcghH/breakingnews.gif)
TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA
10 years ago
Bongo515 Feb
Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia
10 years ago
Vijimambo15 Feb
BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/8k2*97pl68yhdm8-dGrBnFsIgRGn5nB4WqMGaCVDWM1BQLmLnY9CpcLCrgtE8utF5bW7gp2yNVZjW*v6ujz5*DKV5LTE1yi4/dullynababaake.jpg?width=650)
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Dully Sykes: Kazi yangu kupagawisha
10 years ago
Michuzi29 Sep
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kwRawuBDWIQ/VODaqgQ8QyI/AAAAAAAHD1k/vy1HSqNq0Kw/s72-c/10958102_336497629887424_191661160_n.jpg)
JUST IN: BABA WA MSANII DULLY SYKES AFARIKI DUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-kwRawuBDWIQ/VODaqgQ8QyI/AAAAAAAHD1k/vy1HSqNq0Kw/s1600/10958102_336497629887424_191661160_n.jpg)
Ebby Sykes alikuwa muimbaji na mpiga gitaa mashuhuri na ndiye anayedaiwa kumfundisha mambo mengi ya muziki mwanae Dully Sykes.
Sykes alizaliwa February 24, 1952 ambapo tarehe hiyo mwaka huu alikuwa anatimiza miaka 63.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
-Amen