JUST IN: BABA WA MSANII DULLY SYKES AFARIKI DUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-kwRawuBDWIQ/VODaqgQ8QyI/AAAAAAAHD1k/vy1HSqNq0Kw/s72-c/10958102_336497629887424_191661160_n.jpg)
BABA mzazi wa msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Dully Sykes, mzee Ebby Sykes amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Presha.
Ebby Sykes alikuwa muimbaji na mpiga gitaa mashuhuri na ndiye anayedaiwa kumfundisha mambo mengi ya muziki mwanae Dully Sykes.
Sykes alizaliwa February 24, 1952 ambapo tarehe hiyo mwaka huu alikuwa anatimiza miaka 63.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
-Amen
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w04I4TPrbk6LpLatHqwLPNlSvHhaDa5OggxvD0wN2tMhqMy0VDiv--O4Ph*lS*5USks9fuMZlSDwe3eyDDcghH/breakingnews.gif)
TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA
10 years ago
Bongo515 Feb
Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia
10 years ago
Vijimambo15 Feb
BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/8k2*97pl68yhdm8-dGrBnFsIgRGn5nB4WqMGaCVDWM1BQLmLnY9CpcLCrgtE8utF5bW7gp2yNVZjW*v6ujz5*DKV5LTE1yi4/dullynababaake.jpg?width=650)
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Rambirambi kwa kifo cha mke wa mwanamuziki John Kitime na Baba yake msanii Dully Sykes
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mke wa Msanii mkongwe wa muziki wa dansi na Mjumbe wa Bodi ya BASATA Bw. John Kitime kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 13/02/2014.
Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.
Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ar_AinX9-Vg/VOHZSRlDNEI/AAAAAAAHD-s/DCHldFacDb4/s72-c/Untitled.png)
BASATA YATOA RAMBIRAMBI KWA KIFO CHA MKE WA MWANAMUZIKI JOHN KITIME NA BABA YAKE MSANII DULLY SYKES
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ar_AinX9-Vg/VOHZSRlDNEI/AAAAAAAHD-s/DCHldFacDb4/s1600/Untitled.png)
Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.
Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye tasnia...
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
10 years ago
Michuzi29 Sep
9 years ago
Bongo520 Nov
Dully Sykes aeleza njia za kulinda hadhi ya msanii
![Dully Sykes - Kwani wewe ni nani](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Dully-Sykes-Kwani-wewe-ni-nani-300x194.jpg)
Dully Sykes ameeleza njia ambazo zinaweza kuwasaidia wasanii kufikia malengo yao bila kushuka kimuziki.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Dully alisema kuzunguka hovyo kwa msanii kunaweza kuharibu kazi zake.
“Msanii lazima uwe muoga wa kufulia, muoga wa kuanguka, atamani au awe na wivu, unatakiwa ujilinde sio kila sehemu unaweza kuonekana, sio kila saa tu msanii anaweza kuonekana,” alisema.
“Jitengeneze usiwe mrahisi kila mtu anaweza akakuita tu kwa jina...