Rambirambi kwa kifo cha mke wa mwanamuziki John Kitime na Baba yake msanii Dully Sykes
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mke wa Msanii mkongwe wa muziki wa dansi na Mjumbe wa Bodi ya BASATA Bw. John Kitime kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 13/02/2014.
Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.
Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ar_AinX9-Vg/VOHZSRlDNEI/AAAAAAAHD-s/DCHldFacDb4/s72-c/Untitled.png)
BASATA YATOA RAMBIRAMBI KWA KIFO CHA MKE WA MWANAMUZIKI JOHN KITIME NA BABA YAKE MSANII DULLY SYKES
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ar_AinX9-Vg/VOHZSRlDNEI/AAAAAAAHD-s/DCHldFacDb4/s1600/Untitled.png)
Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.
Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye tasnia...
10 years ago
GPLKIFO CHA MZEE SYKES NA MKE WA MSANII KITIME
10 years ago
GPL17 Feb
10 years ago
Bongo515 Feb
Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kwRawuBDWIQ/VODaqgQ8QyI/AAAAAAAHD1k/vy1HSqNq0Kw/s72-c/10958102_336497629887424_191661160_n.jpg)
JUST IN: BABA WA MSANII DULLY SYKES AFARIKI DUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-kwRawuBDWIQ/VODaqgQ8QyI/AAAAAAAHD1k/vy1HSqNq0Kw/s1600/10958102_336497629887424_191661160_n.jpg)
Ebby Sykes alikuwa muimbaji na mpiga gitaa mashuhuri na ndiye anayedaiwa kumfundisha mambo mengi ya muziki mwanae Dully Sykes.
Sykes alizaliwa February 24, 1952 ambapo tarehe hiyo mwaka huu alikuwa anatimiza miaka 63.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
-Amen
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo
Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.
10 years ago
Vijimambo18 Feb
DULLY SYKES AELEZEA MCHANGO WA BABA YAKE KATIKA MUZIKI WAKE
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/dullynababaake.jpg)
Kutokana na Msiba huo Tokea Juzi simu ya Dully Imekuwa haipatikani Ila leo @DjHaazu wa @MamboJamboRadio amempata na Kupiga naye Story mbili tatu kuhusiana na Marehemu Mzee Sykes kwa kifupi.Katika Mazungumzo yake Dully ameeleza kuwa Mzee Wake alikuwa anaugua Muda mrefu na...