MAMA ADAIWA KUMCHANA MWANAYE VIWEMBE SEHEMU ZA SIRI!
![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZdLRTWtLaW0B7UTQHnLWUmgh5aZCLUJq0o4DJz1crpeu9tq5jYb7oE3-1dasZSRTOpIXr1kQURb49Hw1EbBXb-/mtotoviwembe.jpg)
Na Gladness Mallya na Shani Ramadhani Inauma sana! RB namba KMR/RB/7911/2014-KUJERUHI iliyopo kwenye Kituo cha Polisi cha Mbezi-Kwayusuph jijini Dar, inamshikilia mama aliyetajwa kwa jina moja la Schola , mkazi wa Kibanda cha Mkaa, Mbezi kwa shitaka la kumchana kwa viwembe mwanaye Mwajuma (6) aliyezibwa usoni kwa sababu ya kukojoa kitandani. Mtoto Mwajuma aliyechanjwa viwembe sehemu za siri na mama yake. Akizungumza kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DcwImQmcCFLvMU-aOeaL4u9OSpkwcEIQM5VSv4-U0icJDWF*QlX1K1cJ2xE8V*pjRe0AgcjTKFkAKVlZdE3XelM/BACK.jpg)
TUHUMA NZITO: MAMA AMCHARANGA VIWEMBE MWANAYE
10 years ago
Mwananchi21 May
Mama mzazi adaiwa kumuuza mwanaye kwa Sh70,000
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7ajnzhkLY9k6vghkYnBkuPejvKMybZGVj2acEImb9p8TTpvR9aNO*1IBeLWNpqEypcO4hf0sqQ2uhh9f4vf0Aja/e.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA KUMFICHA MWANAYE
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Baba adaiwa kumnyonga mwanaye
MTOTO Henry Juma, mwenye umri wa miezi saba, mkazi wa Migombani mjini Tunduma, wilayani Momba, mkoani hapa, amekutwa ameuawa kwa kunyongwa shingo na baba yake mzazi, Juma Venance, kisha mwili...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IGfeaQzOI3k/UyctQNp1CrI/AAAAAAAFUNw/W203hI1QEMU/s72-c/unnamed+(75).jpg)
Baba adaiwa kumuua mwanaye wa miaka 8 mkoani Njombe
![](http://2.bp.blogspot.com/-IGfeaQzOI3k/UyctQNp1CrI/AAAAAAAFUNw/W203hI1QEMU/s1600/unnamed+(75).jpg)
Njombe SACP Fulgence Ngonyani Na Edwin Moshi, Njombe Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia Bw. Yusufu Sadick Mkalile (33) kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaaa mwenyewe kwa kumziba pua na mdomo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani imesema kuwa mtuhumiwa alitenda mauaji hayo Machi 16 mwaka huu majira ya saa 03:20 asubuhi, ambapo alimziba pua na mdomo mwanaye huyo aitwaye...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/-K50jvlvIKg/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/86mnqHV-Afc/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Kukata, kuharibu sehemu za siri
KAMA kawaida tunaanza makala hii na kishtua mada kwa kuwasikiliza washikaji wawili wakijadili jambo na kutuachia ujumbe. Mshikaji 1: Nasikia huko kwenu Mtwara ni washindi wa mambo mawilil; kuwa na...