Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MZAZI AMLIPUA MOTO MWANAYE

Stori: Makongoro Oging’
Dunia haina huruma! Mtoto Samwel Paulo (13), anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Amani wilayani Ilala, Dar, amelazwa wodi ya watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akiendelea kuuguza majeraha yaliyotokana na kile kinachodaiwa ni kulipuliwa kwa moto na mama yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Doricus Iganga. Mtoto Samwel Paulo akiwa hospital baada ya kufanyiwa kitendo cha kinyama na mama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mama mzazi adaiwa kumuuza mwanaye kwa Sh70,000

Monduli. Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mama amchoma mwanaye kwa maji moto

Polisi mkoa wa Mara inamshikilia mwananke mmoja (jina tunalo) mkazi wa Bweri Manispaa ya Musoma kwa kosa la kumchoma mtoto wake mwenye miaka minne, kwa maji ya moto, mikono yote miwili baada ya kumtuhumu kuwa ameiba nyama jikoni.

 

10 years ago

Mwananchi

Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye

Baba mzazi na mkazi wa Kijiji cha Sima wilayani hapa mkoani Mwanza anadaiwa kumuua kikatili mwanaye Maneno Faida (4) kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzazi aeleza ukatili aliofanyiwa mwanaye

Jamal Salum (12), mtoto ambaye aliuawa na Mohamed Said (36) ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Awali na Madrasa ya Al Nur Al eneo la Mbagala Charambe Foma, inadaiwa alitobolewa macho kabla ya kuchinjwa na mtuhumiwa huyo.

 

11 years ago

GPL

MAMA MZAZI WA ANGELLA MSANGI, MAMA MISHELI SINGOYE KUZIKWA LEO APRILI 30, 2014 ZINGA, BAGAMOYO PWANI

Mama mzazi wa Mtangazaji wa Television ya Taifa (TBC1), Angella Michael Msangi, Marehemu Mama Misheli Singoye anatazikwa leo Jumatano Aprili 30, 2014 ambapo ibada itaanza saa tatu asubuhi katika Kanisa la Pentekoste, Kigamboni na baada ya hapo safari ya kuelekea kwenye maziko Zinga kwa Awadhi, Bagamoyo Pwani.

 

10 years ago

GPL

MAMA LULU ATAMANI MWANAYE AFE TU!

Imelda Mtema
Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana! Lulu akiwa hoi nyumbani. YOTE HAYA KISA MITANDAO
Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada ya...

 

10 years ago

GPL

MAMA ALAZIMISHA MWANAYE ATOKE NA HAMILTON

Mama mzazi wa modo na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, Kendall Jenner, Kris Jenner. Monaco, Ufaransa
MAMA mzazi wa modo na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, Kendall Jenner, Kris Jenner, amempigia debe mwanaye kwa muendesha magari ya langalanga ‘The Formula 1’, Lewis Hamilton. Modo na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, Kendall Jenner akiwa na...

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AFICHUA MAZITO YA RAY, MWANAYE

Stori: Mwandishi Wetu
BAADA ya hivi karibuni siri kufichuka kwamba Kundi la Bongo Movie linateswa na laana ya marehemu Steven Kanumba, mama yake Flora Mtegoa ameibuka na kueleza mazito yakiwemo ya aliyekuwa rafiki wa mwanaye, Vincent Kigos ‘Ray’, Risasi Jumamosi linakupa mchapo. Mama yake marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa. Akizungumza kwa hisia kali Mama Kanumba alisema anaungana na katibu msaidizi wa klabu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani