Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MZAZI WA ANGELLA MSANGI, MAMA MISHELI SINGOYE KUZIKWA LEO APRILI 30, 2014 ZINGA, BAGAMOYO PWANI

Mama mzazi wa Mtangazaji wa Television ya Taifa (TBC1), Angella Michael Msangi, Marehemu Mama Misheli Singoye anatazikwa leo Jumatano Aprili 30, 2014 ambapo ibada itaanza saa tatu asubuhi katika Kanisa la Pentekoste, Kigamboni na baada ya hapo safari ya kuelekea kwenye maziko Zinga kwa Awadhi, Bagamoyo Pwani.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mama Misheli Singoye kuzikwa kesho

Marehemu Mama Misheli Singoye Mama mzazi wa Mtangazaji wa Television ya Taifa (TBC1), Angella Michael Msangi, Marehemu Mama Misheli Singoye anatazikwa kesho Jumatano, Aprili 30, 2014. Ibada itaanza saa tatu asubuhi katika Kanisa la Pentekoste, Kigamboni, jijini Dar es salaam  na baada ya hapo safari ya kuelekea kwenye maziko Zinga kwa Awadhi, Bagamoyo, mkoa wa  Pwani.

Marehemu Mama Misheli Singoye alifariki Aprili 26, 2014 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA WATOTO HUKO ZINGA BAGAMOYO

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais wa Shirika la International Health Partiners (IHP)-JEMA Tanzania, Mama Mary Ellen Kitundu mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Zinga huko Bagamoyo, mkoani Pwani. Mama Salma alikwenda kijijini hapo kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi la hospitali ya watoto inayojengwa na Shirika la IHP-JEMA Tanzania tarehe 10.6.2014. Katikati ni Mkurugenzi wa Mradi huo Dkt. Jesse Kitundu. Mke wa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: Mama mzazi wa katibu wa mbunge Al Shaimar Kweigyir afariki dunia leo Kibaha, Pwani

MAMA wa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum  Mhe. Al Shaimar Kweigyir, Bw. Semeni Kingaru, anayeitwa Kibibi Haji Pembe, amefariki Dunia leo saa tano asubuhi akiwa na umri wa miaka 80.Semeni Kingaru kulia ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimar Kweigyir, akiwa na mama yake mzazi Bi Kibibi Haji enzi za uhai wake. Marehemu Kibibi Haji  amefariki Dunia leo asubuhi, wilayani Kibaha, mkoani Pwani.Mama huyo amefariki nyumbani kwake kijiji cha Misugusugu, wilayani Kibaha, mkoani Pwani,...

 

11 years ago

Michuzi

JK amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

Michuzi

mama mzazi wa mwanalibeneke Kazikupenda "KK" Chale afariki dunia leo

Mdau Kazikupenda Kk Chale anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Bi.Fides Chale (pichanii) kilichotokeo ghafla leo huko Nyumbani kwake Ubungo Msewe. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa mwanae, Ubungo-Msewe, Dar. Maziko yanatarajia kufanyika Dar. Taarifa zaidi zitotelewa baadae. Bwana ametoa, Bwana ametwaa 
jina la Bwana Lihimidiwe - Amen

KK anaendesha blog ya Tembea Tanzania BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MAMA YAKE MZAZI SAIDI MDOE, BI DESTA MOHAMMED YALIVYOFANYIKA LEO

Mama mzazi wa mdau Said Mdoe, Bi Desta Mohammed aliyefariki jana saa moja jioni, amezikwa jioni ya leo, hapa mwili wake ukiombewa kabla ya kupelekwa makaburini kwa mazishi. Waombolezaji wakielekea makaburini eneo la Masina Mbezi Beach, jijini Dar.…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Msaki jijini Dar es salaam leo walipofika heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi Marehemu Esther Gigwa Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshimazao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfarijiMkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Msaki jijini Dar es salaam leo walipofika heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi Marehemu Esther Gigwa Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama...

 

10 years ago

Michuzi

Matukio Msiba wa Mama mzazi wa Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar es salaam leo

Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
 Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa  marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.Kwa picha zaidi BOFYA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani