RAIS KIKWETE ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-V_0_DWFQiGw/VPCAeOaJbYI/AAAAAAAHGSk/UbE-yrVPwko/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Msaki jijini Dar es salaam leo walipofika heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi Marehemu Esther Gigwa Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-SsaTrXLWsmg/VPCGf6bCtRI/AAAAAAADa7E/PDhFd2qgGAo/s72-c/h1.jpg)
RAIS KIKWETE AHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-SsaTrXLWsmg/VPCGf6bCtRI/AAAAAAADa7E/PDhFd2qgGAo/s1600/h1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-b8p_KvhPay8/VPCGfhw7dtI/AAAAAAADa7A/fejsYUnp8mA/s1600/h2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-8SSp946JH2E/VPCGfSLFUvI/AAAAAAADa68/tdsZbz_6Etw/s1600/h3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ashiriki kuaga mwili wa mama mzazi wa Dkt. Edward Hosea, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya marehemu Esther Gigwa, Mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward Hosea, wakati alipofika kushiriki kuaga mwili huo nyumbani kwa mkurugenzi huyo, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Feb 27, 2015. (Picha na OMR).
Wanafamilia wafiwa wakiwa katika shughuli hiyo ya maziko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji,...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN NYERERE HUKO MSASAN
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-3YIfMv8jjCA/VPRsc6iwVaI/AAAAAAADbQM/Lk9khKGHnt0/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU KAPTEN KOMBA VIWANJA VYA KARIMJEE DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-3YIfMv8jjCA/VPRsc6iwVaI/AAAAAAADbQM/Lk9khKGHnt0/s1600/01.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nD6sJq4xwN0/VPRsc3bbuDI/AAAAAAADbQI/XNrbzh2SgXk/s1600/02.jpg)
10 years ago
VijimamboRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dIkaZdu_xFg/VTc7STPTo5I/AAAAAAAHSbA/BNWexP7Azss/s72-c/unnamed%2B(79).jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MKUU WA WILAYA YA KYERWA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO HOSPITALI KUU YA JESHI YA LUGALO, DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-dIkaZdu_xFg/VTc7STPTo5I/AAAAAAAHSbA/BNWexP7Azss/s1600/unnamed%2B(79).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ukH7lMHamMw/VTc7SEJyckI/AAAAAAAHSa8/LDh2vqCgoUc/s1600/unnamed%2B(80).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Ia3yN9zwyFg/VFUb7GwkjfI/AAAAAAADMCo/CRpjkk4w-_k/s72-c/0L7C3019.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ia3yN9zwyFg/VFUb7GwkjfI/AAAAAAADMCo/CRpjkk4w-_k/s1600/0L7C3019.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-rPDpGKwWRcg/VFUb7z9z8AI/AAAAAAADMCw/dedQ-QOkElE/s1600/0L7C3060.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-4Mf7mZPyHS8/VTZQGiIZXyI/AAAAAAAA7MM/0K1n0dSOzpI/s72-c/dc1.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZAA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO LUGALO
![](http://2.bp.blogspot.com/-4Mf7mZPyHS8/VTZQGiIZXyI/AAAAAAAA7MM/0K1n0dSOzpI/s1600/dc1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8yRfh6A_I8/VTZQD80S34I/AAAAAAAA7ME/01WX2dPVelk/s1600/dc2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_i1ghNbU8xM/VDpavLrUQTI/AAAAAAAGpfU/Q4dSsHFhhjo/s72-c/s1.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA DKT SHIJA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-_i1ghNbU8xM/VDpavLrUQTI/AAAAAAAGpfU/Q4dSsHFhhjo/s1600/s1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2Kg735QKSYo/VDpaw82f0_I/AAAAAAAGpfc/Cau2ahdQNZg/s1600/s2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CrCtxSMl_L0/VDqPGQpDPnI/AAAAAAAGpjo/uEqGwm-qJEA/s1600/s3.jpg)