Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Misheli Singoye kuzikwa kesho

Marehemu Mama Misheli Singoye Mama mzazi wa Mtangazaji wa Television ya Taifa (TBC1), Angella Michael Msangi, Marehemu Mama Misheli Singoye anatazikwa kesho Jumatano, Aprili 30, 2014. Ibada itaanza saa tatu asubuhi katika Kanisa la Pentekoste, Kigamboni, jijini Dar es salaam  na baada ya hapo safari ya kuelekea kwenye maziko Zinga kwa Awadhi, Bagamoyo, mkoa wa  Pwani.

Marehemu Mama Misheli Singoye alifariki Aprili 26, 2014 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAMA MZAZI WA ANGELLA MSANGI, MAMA MISHELI SINGOYE KUZIKWA LEO APRILI 30, 2014 ZINGA, BAGAMOYO PWANI

Mama mzazi wa Mtangazaji wa Television ya Taifa (TBC1), Angella Michael Msangi, Marehemu Mama Misheli Singoye anatazikwa leo Jumatano Aprili 30, 2014 ambapo ibada itaanza saa tatu asubuhi katika Kanisa la Pentekoste, Kigamboni na baada ya hapo safari ya kuelekea kwenye maziko Zinga kwa Awadhi, Bagamoyo Pwani.

 

11 years ago

Mwananchi

DC Chang’a kuzikwa Iringa kesho

 Mkuu wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Moshi Chang’a aliyefariki dunia juzi atazikwa kesho Kihesa mkoani Iringa.

 

11 years ago

GPL

RECHO KUZIKWA KESHO DAR

Marehemu Rachel Haule 'Recho' enzi za uhai wake. MSANII wa filamu Rachel Haule 'Recho'  aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya  Songea kama ilivyopangwa hapo awali. Ratiba ya kuuaga mwili wa marehemu inabaki pale pale siku ya kesho Leaders Club na baadae kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinonondoni. ...

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mkurugegenzi wa ASET,  Asha Baraka akiwa msibani. Rogert Hega, 'Katapilla' akiwa msibani. Victor Mkambi akiwa msibani.…

 

11 years ago

GPL

MCD KUZIKWA KIISLAM KESHO SAA 7 MCHANA

ALIYEKUWA mpiga tumba wa Twanga Pepeta Soud Mohamed 'MCD' aliyefariki jana usiku, atazikwa kesho saa 7 mchana Moshi mjini. Kwa mujibu wa kiongozi wa Twanga, Luizer Mbutu mazishi ya MCD ilikuwa yafanyike leo saa 10 lakini familia ikakubali kusogeza mbele ili wafanyakazi wenzie pamoja na marafiki wa marehemu waweze kuwahi mazishi hayo. Msafara wa wasanii wa Twanga, wawakilishi wa bendi zingine, wadau na marafiki, utaondoka Dar es...

 

11 years ago

GPL

Adam Kuambiana kuzikwa kesho alipozikwa Kanumba

Marehemu Adam Kuambiana aliyeaga dunia juzi Jumamosi. Na Richard Bukos
SHABIKI wa Yanga na msanii wa filamu za maigizo nchini kutoka kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana aliyeaga dunia juzi Jumamosi, anatarajiwa kuzikwa kesho Jumanne kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.
Akizungumza na Championi Jumatatu, jana, Rais wa Bongo...

 

11 years ago

GPL

MZEE SMALL KUZIKWA KESHO MAKABURI YA SEGEREA

Mzee Small enzi za uhai wake akibadilishana mawazo na Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally. MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam. Marehemu Mzee Small alifariki dunia jana usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. ...

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA KUZIKWA KESHO JIJINI DAR

Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini. ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda aliyefariki jana asubuhi, atazikwa kesho mchana badala ya leo kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali. Mtoto wa kwanza marehemu, Feisal amesema kuwa polisi wamesema ni lazima mwili wa mama yake ufanyiwe upasuaji (postmortem) ili kujua chanzo cha kifo chake. Awali ndugu wa marehemu walisema hawahitaji Asha...

 

11 years ago

GPL

MZEE GURUMO KUZIKWA KESHO KWAO KISARAWE, MKOA WA PWANI

Waombolezaji wakiwa msibani. Ndugu wa marehemu wakiwa katika chumba cha wafiwa. Mke wa marehemu,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani