Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCD KUZIKWA KIISLAM KESHO SAA 7 MCHANA

ALIYEKUWA mpiga tumba wa Twanga Pepeta Soud Mohamed 'MCD' aliyefariki jana usiku, atazikwa kesho saa 7 mchana Moshi mjini. Kwa mujibu wa kiongozi wa Twanga, Luizer Mbutu mazishi ya MCD ilikuwa yafanyike leo saa 10 lakini familia ikakubali kusogeza mbele ili wafanyakazi wenzie pamoja na marafiki wa marehemu waweze kuwahi mazishi hayo. Msafara wa wasanii wa Twanga, wawakilishi wa bendi zingine, wadau na marafiki, utaondoka Dar es...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tanzia: Sheikh Ali Mzee Comorian afariki dunia mchana huu, kuzikwa kesho saa nne asubuhi

Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) amefariki dunia muda mchache uliopita nyumbani kwake mtaa wa Kariakoo jijini Dar es salaam. Shughuli za maziko zinafanyika hapo hapo nyumbani kwake.Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo.  Maziko yatafanyika kesho Jumatatu saa nne asubuhi. Atasaliwa Msikiti wa Makonde na atazikwa katika Viunga vya Wangazija mtaa wa Bibi Titi Mohamed, Dar es salaam.
 Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit  Imetolewa na:Abdulrahman S. I....

 

10 years ago

Michuzi

HII NI NYUMBA YA MICHEZO TANZANIA….YAHUSIKAJE?? SAA 3 ASUBUHI HADI SAA SITA ZA MCHANA-SPORTS HEADQUATERS..

  MAULID BARAKA KITENGE WITH CO HOST  IBRAHIM MASOUD “MAESTRO” NA OMAR KATANGA.WACHAMBUZI  OSCAR OSCAR,  MUSSA KAWAMBWA  NA SUDI  MKUMBA

WATAYARISHAJI : YUSUPH MKULE, FRANCIS MHANDO, DR PANJUAN NA  WENGINEO....


1.    MAULID KITENGE NI NANI?,

Huyu ni mtangazaji nguli wa Sports Tanzania, aliyetumia kipindi cha miaka kumi na nne(14) kwenye moja kati ya vituo maarufu nchini Tanzania, na mwanzilishi wa Sports E FM Radio, ambae anafahamika sana kwa utangazaji wake maridhawa, na maswali yenye kutia...

 

10 years ago

CloudsFM

HATIMAYE MWILI WA AISHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA

Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili.

Asha Baraka amesema baada ya zoezi hilo, watauosha mwili wa marehemu katika msikiti ulioko hapo Muhimbili ikiwa ni pamoja na uvishaji wa sanda kabla ya kuelekea nyumbani kwao...

 

10 years ago

GPL

HATIMAYE MWILI WA ASIHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA

Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili. Asha Baraka amesema baada ya zoezi...

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA UNASIKITIKA KUWATAARIFU ABIRIA WA TRENI YA DELUXE YA KWENDA KIGOMA LEO JUMAPILI MEI 31, 2015, KUWA SAFARI HIYO IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU! 
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI  NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND KUWASILI NYUMBANI LEO SAA NANE MCHANA

Kwa wale mashabiki wote wa Super Star na mshindi wetu Diamond Platnumz habari ni kwamba leo saa nane mchana Rais wa Wasafi anarudi nyumbani na zile tuzo 3. Sasa mnaonaje mkajumuika na sisi kumpokea pale Airport ili tusherekee huo ushindi pamoja naye? Njooni tumuonyeshe ni kwa jinsi gani tunampenda na kuithamini kazi yake. #Twajivunia kuwa watanzania

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani