Tanzia: Sheikh Ali Mzee Comorian afariki dunia mchana huu, kuzikwa kesho saa nne asubuhi
![](http://3.bp.blogspot.com/-S7O4nB7IPno/VJ_kIN7Zz6I/AAAAAAAG6HU/9PNz9yB05Xc/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) amefariki dunia muda mchache uliopita nyumbani kwake mtaa wa Kariakoo jijini Dar es salaam. Shughuli za maziko zinafanyika hapo hapo nyumbani kwake.Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo. Maziko yatafanyika kesho Jumatatu saa nne asubuhi. Atasaliwa Msikiti wa Makonde na atazikwa katika Viunga vya Wangazija mtaa wa Bibi Titi Mohamed, Dar es salaam.
Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit Imetolewa na:Abdulrahman S. I....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHEIKH ALI COMORIAN AFARIKI DUNIA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9Qe7BqKa1r8/VoJ_-ynHLbI/AAAAAAAIPMk/Q83rcFvfP30/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika kesho mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-9Qe7BqKa1r8/VoJ_-ynHLbI/AAAAAAAIPMk/Q83rcFvfP30/s320/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQhqnmHaH8rDEE2wUQXLJKwT1RaOgJwObV3fBao7kDv61juqgGYaFcHrCHFO7qfAjk-QjSGiRA8SgUgRNd3iXdaa/BREAKING.gif)
TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2AStWy5W0kg/U5rKT7EtTZI/AAAAAAAFqUs/MBF-1NBIe4g/s72-c/Bondia+Mkongwe+Iraki+Hudu(mwenye+miwani)+na+Mwanae+Dani+Hudu.jpg)
Tanzia: Bondia wa zamani iraq hudu afariki dunia leo, kuzikwa kesho kisutu Dar es salaam
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika leo mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) aliyefariki dunia mwaka mmoja uliopita itafanyika Mtaa wa Amani na Simba, Kariakoo, jijini Dar es salaam mara baada ya Swalatul Ishai Zawiyan siku ya leo Desemba 30.
Familia ya marehemu inawaalika ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo kuhudhuria shughuli hii, kumkumbuka na kumuenzi Sheikh Comorian, aliyekuwa mwanazuoni nguli na mwalimu wa wengi.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un
11 years ago
GPLMCD KUZIKWA KIISLAM KESHO SAA 7 MCHANA
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-DhYDNbGpGN4/VKEnkqtBz5I/AAAAAAAG6UU/D0Rh6DZPs0s/s1600/DSC_1214.jpg)
SHEIKH ALI MZEE COMORIAN AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA WANGAZIJA, JIJINI DAR LEO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DhYDNbGpGN4/VKEnkqtBz5I/AAAAAAAG6UU/D0Rh6DZPs0s/s72-c/DSC_1214.jpg)
Sheikh Ali Mzee Comorian azikwa leo kwenye Makaburi ya Wangazija,jijini Dar leo
Mamia ya watu wameshiriki katika mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian yaliyofanyika leo katika makaburi ya Wangazija yaliyopo katika barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam.
Mazishi hayo yameongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kusema kifo cha sheikh huyo ni mipango ya mungu kwa kila mtu safari yake ipo.
Alisema kifo cha sheikh kinatakiwa kuenziwa kwa mema aliyoyafanya katika uhai wake katika kupigania...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZA1MtBJn750/XsQ3W9D3y4I/AAAAAAALq14/Syaor53TJCst7e4JU6_kxvmzs4fxwZUIQCLcBGAsYHQ/s72-c/chris.jpg)
TANZIA: Mzee Edward Mfinanga wa Mworombo Arusha afariki dunia
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZA1MtBJn750/XsQ3W9D3y4I/AAAAAAALq14/Syaor53TJCst7e4JU6_kxvmzs4fxwZUIQCLcBGAsYHQ/s400/chris.jpg)
Mipango ya Mazishi inafanyika kwa Mworombo, Arusha. Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na Marafiki popote pale walipo.
BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA.
JINA LAKE NA LIHIMIDIWEAMINA