SHEIKH ALI COMORIAN AFARIKI DUNIA
Sheikh Ali Mzee Comorian enzi za uhai wake. KIONGOZI wa Kikundi cha Qaswida cha Ahbaabur Rasuul, Sheikh Ali Mzee Comorian amefariki dunia leo muda wa kuingia nyakati za adhuhuri. Taarifa zinasema kuwa kifo cha Sheikh Comorian kinafuatia kuugua kwa muda mrefu. Sheikh Comorian atakumbukwa na wengi kwa mapenzi yake yasiyo kifani katika kumpenda Mtume Muhammad. Aidha mbali na kutoa Da'awa katika shughuli nyingi za kiislamu pia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-S7O4nB7IPno/VJ_kIN7Zz6I/AAAAAAAG6HU/9PNz9yB05Xc/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
Tanzia: Sheikh Ali Mzee Comorian afariki dunia mchana huu, kuzikwa kesho saa nne asubuhi
![](http://3.bp.blogspot.com/-S7O4nB7IPno/VJ_kIN7Zz6I/AAAAAAAG6HU/9PNz9yB05Xc/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit Imetolewa na:Abdulrahman S. I....
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika leo mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) aliyefariki dunia mwaka mmoja uliopita itafanyika Mtaa wa Amani na Simba, Kariakoo, jijini Dar es salaam mara baada ya Swalatul Ishai Zawiyan siku ya leo Desemba 30.
Familia ya marehemu inawaalika ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo kuhudhuria shughuli hii, kumkumbuka na kumuenzi Sheikh Comorian, aliyekuwa mwanazuoni nguli na mwalimu wa wengi.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9Qe7BqKa1r8/VoJ_-ynHLbI/AAAAAAAIPMk/Q83rcFvfP30/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika kesho mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-9Qe7BqKa1r8/VoJ_-ynHLbI/AAAAAAAIPMk/Q83rcFvfP30/s320/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DhYDNbGpGN4/VKEnkqtBz5I/AAAAAAAG6UU/D0Rh6DZPs0s/s72-c/DSC_1214.jpg)
Sheikh Ali Mzee Comorian azikwa leo kwenye Makaburi ya Wangazija,jijini Dar leo
Mamia ya watu wameshiriki katika mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian yaliyofanyika leo katika makaburi ya Wangazija yaliyopo katika barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam.
Mazishi hayo yameongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kusema kifo cha sheikh huyo ni mipango ya mungu kwa kila mtu safari yake ipo.
Alisema kifo cha sheikh kinatakiwa kuenziwa kwa mema aliyoyafanya katika uhai wake katika kupigania...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-DhYDNbGpGN4/VKEnkqtBz5I/AAAAAAAG6UU/D0Rh6DZPs0s/s1600/DSC_1214.jpg)
SHEIKH ALI MZEE COMORIAN AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA WANGAZIJA, JIJINI DAR LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
SHEIKH ILUNGA KAPUNGU AFARIKI DUNIA
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Sheikh Mkoa wa Mara afariki dunia
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Mara, Othman Magee, amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na saratani ya kibofu. Akizungumza na Tanzania Daima juzi jijini Dar...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Sheikh Issa Shaaban Simba afariki dunia
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba amefariki asubuhi ya leo.
Kwa taarifa zaidi juu ya kifo chake tutaendelea kuwajulisha, Innalilah wainailah Rajiun.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-02oFTYk2Ma0/VDuuxLOE1MI/AAAAAAAGpvo/L9qOYVDgsVI/s72-c/Ali%2BA.%2BMazrui.jpg)
Prof. Ali Alamin Mazrui afariki Dunia leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-02oFTYk2Ma0/VDuuxLOE1MI/AAAAAAAGpvo/L9qOYVDgsVI/s1600/Ali%2BA.%2BMazrui.jpg)
Prof. Mazrui amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81,taarifa za awali zinaeleza kuwa Prof. Mazrui hakuwa akijisikia vizuri kwa miezi kadhaa kabla ya kifo chake.
Mwenyekiti wa Haki za Binadamau za Waislam (MUHURI) Khelef Khalifa amesema mwili wa marehemu Prof. Prof Mazrui utasafirishwa kwa ndege kwenda Kenya kwa mazishi.