Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheikh Mkoa wa Mara afariki dunia

SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Mara, Othman Magee, amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na saratani ya kibofu. Akizungumza na Tanzania Daima juzi jijini Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mkuu wa Mkoa wa Mara afariki dunia

MKUU wa Mkoa wa Mara,  John Tuppa, amefariki dunia jana akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Tarime. Taarifa za kifo chake zilitolewa kwa waandishi wa habari na Mkuu wa  Wilaya...

 

11 years ago

GPL

BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA, GABRIEL TUPPA AFARIKI DUNIA

Mkuu wa mkoa wa Mara, Bw. John Gabriel Tuppa. MKUU wa mkoa wa Mara, Bw. John Gabriel Tuppa, amefariki dunia ghafla leo majira ya saa 4.30 asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa shinikizo la damu akiwa wilaya ya Tarime mkoani Mara. Katibu tawala wa mkoa wa Mara, Bw. Benedict Ole Kuyan, amesema kuwa Bw. Tuppa kabla ya kifo chake leo asubuhi akiwa na afya njema alifika… ...

 

11 years ago

Michuzi

BREKING NYUZZZZZ: MKUU WA MKOA WA MARA MHE JOHN TUPA AFARIKI DUNIA WILAYANI TARIME LEo

Mkuu wa mkoa wa Mara, Bwana John Tupa ( pichani, enzi za uhai wake) amefariki dunia akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Tarime mkoani Mara asubuhi hii.  Habari zilizothibitishwa zinasema Marehemu Tupa alianguka na kupoteza fahamu akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime akipokea taarifa kabla ya kufunga mafunzo ya mgambo wilayani humo. Mara baada ya kuanguka juhudi za haraka zilifanyika na kumkimbiza hospitali ya Wilaya ya Tarime ambako alitangazwa kuwa ameshafariki mara...

 

11 years ago

GPL

SHEIKH ILUNGA KAPUNGU AFARIKI DUNIA

Sheikh Ilunga Hassan Kapungu enzi za uhai wake . SHEIKH Ilunga Hassan Kapungu ameafariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kisukari jijini Dar es Salaam. Mazishi yake yatafanyika leo Jumatatu saa 10 jioni. Mwili wa marehemu utasaliwa katika msikiti wa Kichangani, Magomeni-Mapipa jijini Dar. Taarifa hii imetolewa na:
Sheikh Mohammed Kassim,
IPC Ubungo… ...

 

10 years ago

GPL

SHEIKH ALI COMORIAN AFARIKI DUNIA

Sheikh Ali Mzee Comorian enzi za uhai wake. KIONGOZI wa Kikundi cha Qaswida cha Ahbaabur Rasuul, Sheikh Ali Mzee Comorian amefariki dunia leo muda wa kuingia nyakati za adhuhuri. Taarifa zinasema kuwa kifo cha Sheikh Comorian kinafuatia kuugua kwa muda mrefu. Sheikh Comorian atakumbukwa na wengi kwa mapenzi yake yasiyo kifani katika kumpenda Mtume Muhammad.
Aidha mbali na kutoa Da'awa katika shughuli nyingi za kiislamu pia...

 

10 years ago

Mtanzania

Sheikh Issa Shaaban Simba afariki dunia

ShekheMkuuHabari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba amefariki asubuhi ya leo.
Kwa taarifa zaidi juu ya kifo chake tutaendelea kuwajulisha, Innalilah wainailah Rajiun.

 

11 years ago

Habarileo

Mkuu wa Mkoa wa Mara afariki

Marehemu John TupaMKUU wa Mkoa wa Mara, John Tupa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla akiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime wakati akiendesha kikao.

 

11 years ago

Mwananchi

RC Mara afariki dunia ghafla

>Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla kutoka kwenye kiti alichoketi wakati akishiriki Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI

Aliyekuwa Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Bin Shabani Simba enzi za uhai wake
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.

Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi."Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani