SHEIKH ILUNGA KAPUNGU AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Sheikh Ilunga Hassan Kapungu enzi za uhai wake . SHEIKH Ilunga Hassan Kapungu ameafariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kisukari jijini Dar es Salaam. Mazishi yake yatafanyika leo Jumatatu saa 10 jioni. Mwili wa marehemu utasaliwa katika msikiti wa Kichangani, Magomeni-Mapipa jijini Dar. Taarifa hii imetolewa na: Sheikh Mohammed Kassim, IPC Ubungo… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Sheikh Mkoa wa Mara afariki dunia
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Mara, Othman Magee, amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na saratani ya kibofu. Akizungumza na Tanzania Daima juzi jijini Dar...
10 years ago
GPLSHEIKH ALI COMORIAN AFARIKI DUNIA
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Sheikh Issa Shaaban Simba afariki dunia
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba amefariki asubuhi ya leo.
Kwa taarifa zaidi juu ya kifo chake tutaendelea kuwajulisha, Innalilah wainailah Rajiun.
11 years ago
Mwananchi06 May
Seif, Lipumba waongoza waombolezaji mazishi ya Sheikh Ilunga Dar es Salaam
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-I2L9RxSe4U0/VX6Gp_kJbcI/AAAAAAABQNI/DLiflAhZ77A/s72-c/MSIKITI.2.jpg)
BREAKING NEWS: MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-I2L9RxSe4U0/VX6Gp_kJbcI/AAAAAAABQNI/DLiflAhZ77A/s640/MSIKITI.2.jpg)
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi."Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-S7O4nB7IPno/VJ_kIN7Zz6I/AAAAAAAG6HU/9PNz9yB05Xc/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
Tanzia: Sheikh Ali Mzee Comorian afariki dunia mchana huu, kuzikwa kesho saa nne asubuhi
![](http://3.bp.blogspot.com/-S7O4nB7IPno/VJ_kIN7Zz6I/AAAAAAAG6HU/9PNz9yB05Xc/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit Imetolewa na:Abdulrahman S. I....
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
11 years ago
MichuziWadau David Kapungu na Vailet Ndimbo wameremeta
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, afarikki dunia
Mufti Simba enzi za Uhai wake..
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka mamlaka husika na dini na ndugu wa karibu walieleza kuwa, mwili wa marehemu umeondolewa hospitali hapo na kuhamishiwa hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo kungoja taratibu za mazishi.
Kwamujibu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo...