Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa Mkoa wa Mara afariki dunia

MKUU wa Mkoa wa Mara,  John Tuppa, amefariki dunia jana akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Tarime. Taarifa za kifo chake zilitolewa kwa waandishi wa habari na Mkuu wa  Wilaya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA, GABRIEL TUPPA AFARIKI DUNIA

Mkuu wa mkoa wa Mara, Bw. John Gabriel Tuppa. MKUU wa mkoa wa Mara, Bw. John Gabriel Tuppa, amefariki dunia ghafla leo majira ya saa 4.30 asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa shinikizo la damu akiwa wilaya ya Tarime mkoani Mara. Katibu tawala wa mkoa wa Mara, Bw. Benedict Ole Kuyan, amesema kuwa Bw. Tuppa kabla ya kifo chake leo asubuhi akiwa na afya njema alifika… ...

 

11 years ago

Michuzi

BREKING NYUZZZZZ: MKUU WA MKOA WA MARA MHE JOHN TUPA AFARIKI DUNIA WILAYANI TARIME LEo

Mkuu wa mkoa wa Mara, Bwana John Tupa ( pichani, enzi za uhai wake) amefariki dunia akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Tarime mkoani Mara asubuhi hii.  Habari zilizothibitishwa zinasema Marehemu Tupa alianguka na kupoteza fahamu akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime akipokea taarifa kabla ya kufunga mafunzo ya mgambo wilayani humo. Mara baada ya kuanguka juhudi za haraka zilifanyika na kumkimbiza hospitali ya Wilaya ya Tarime ambako alitangazwa kuwa ameshafariki mara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheikh Mkoa wa Mara afariki dunia

SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Mara, Othman Magee, amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na saratani ya kibofu. Akizungumza na Tanzania Daima juzi jijini Dar...

 

11 years ago

Habarileo

Mkuu wa Mkoa wa Mara afariki

Marehemu John TupaMKUU wa Mkoa wa Mara, John Tupa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla akiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime wakati akiendesha kikao.

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA- MKUU WA MAGEREZA MKOA WA SHINYANGA AFARIKI DUNIA


                                                Marehemu SACP Aneth Laurent  enzi za uhai wake
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza - SACP Aneth Laurent kilichotokea jana Julai 30, 2015 katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza.Kamishna Jenerali wa Magereza anatoa pole kwa Watumishi wote wa Jeshi la Magereza nchini, familia na wale wote...

 

11 years ago

Mwananchi

RC Mara afariki dunia ghafla

>Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla kutoka kwenye kiti alichoketi wakati akishiriki Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI MKUU WA MKOA WA MARA,MAREHEMU JOHN TUPA MKOANI MOROGORO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.  Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji  Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa ...

 

11 years ago

GPL

KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA

Waombolezaji ndugu na jamaa wakitoa jeneza na aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa  leo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani