Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Ali Alamin Mazrui afariki Dunia leo

Msomi maarufu nchini Kenya na Afrika Mashariki,Prof. Ali Alamin Mazrui (pichani) amefariki dunia leo asubuhi Binghamton Jijini New York nchini Marekani. 
 Prof. Mazrui amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81,taarifa za awali zinaeleza kuwa Prof. Mazrui hakuwa akijisikia vizuri kwa miezi kadhaa kabla ya kifo chake. 
 Mwenyekiti wa Haki za Binadamau za Waislam (MUHURI) Khelef Khalifa amesema mwili wa marehemu Prof. Prof Mazrui utasafirishwa kwa ndege kwenda Kenya kwa mazishi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

news alert: Profesa Ali Alamin Mazrui afariki dunia

 Msomi maarufu wa Kenya Profesa Ali Alamin Mazrui (pichani) amefariki dunia leo asubuhi jijini New York, Marekani akiwa na umri wa miaka 81. 
Profesa Mazrui alikuwa mhadhili  katika chuo kikuu cha Binghamton jijini New York. Ameandika vitabu 30 ambavyo vimezungumzia masuala ya uongozi na siasa za Afrika na Kimataifa pamoja na masomo ya kiislamu. Je, unamkumbuka vipi msomi huyo? (DW - KISWAHILI)

 

10 years ago

GPL

PROFESA MAZRUI AFARIKI DUNIA

Profesa Ali Mazrui enzi za uhai wake. MSOMI mashuhuri wa masuala ya kisiasa, utamaduni wa Kiafrika na dini ya kiisilamu wa nchini Kenya, Profesa Ali Mazrui ameaga dunia leo akiwa Marekani. Mazrui alyekuwa anaishi nchini Marekani, amefariki akiwa na umri wa miaka 81baada ya kuugua kwa muda mrefu. Taarifa zinadai kuwa Profesa Mazrui atazikwa mjini Mombasa, Pwani ya Kenya alikozaliwa. Enzi za uhai wake, marehemu alitoa ombi la...

 

10 years ago

GPL

SHEIKH ALI COMORIAN AFARIKI DUNIA

Sheikh Ali Mzee Comorian enzi za uhai wake. KIONGOZI wa Kikundi cha Qaswida cha Ahbaabur Rasuul, Sheikh Ali Mzee Comorian amefariki dunia leo muda wa kuingia nyakati za adhuhuri. Taarifa zinasema kuwa kifo cha Sheikh Comorian kinafuatia kuugua kwa muda mrefu. Sheikh Comorian atakumbukwa na wengi kwa mapenzi yake yasiyo kifani katika kumpenda Mtume Muhammad.
Aidha mbali na kutoa Da'awa katika shughuli nyingi za kiislamu pia...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA: MKE WA PROF MLEKWA WA UDSM AFARIKI DUNIA

Familia ya Prof Victor Mlekwa wa  Savery Mlalakuwa, Dar Es Salaam

Inasikitika kutangaza kifo cha mama yao Febronia Mshomba Mlekwa kilichotokea tarehe 16/02/2015 Katika Hospitali ya Kairuki, Dar Es Salaam.
Mazishi yatafanyika tarehe19/02/2015 Alhamisi, Goba Dar Es Salaam.
Wale wote watakao kuungana penda na wafiwa, wanakaribishwa nyumbani kwa Mrehemu Savery mapema. Wote tunawatakia pole ya msiba.

 

10 years ago

TheCitizen

TRIBUTE: The 13 things about Prof Mazrui’s life

>1. He wanted to become a jurist in Islamic law, as his father was the Chief Kadhi of Kenya in the 1940s.

 

11 years ago

GPL

MCHEZAJI WA KMKM NA ZANZIBAR HEROES ALI SULEIMAN AFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA MTI

MCHEZAJI wa KMKM na timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’,  Ali Suleiman Abdi amefariki dunia baada ya kuangukiwa na mti wakati wa mvua kubwa iliyoambatanana na upepo mkali iliyonyesha jana mjini humo!

 

10 years ago

Vijimambo

BURIANI PROFESA ALI MAZRUI

Octoba 14 mwaka jana Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa uliandaa hafla ya kwanza ya aina yake ya kumkumbuka na kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius kambarage Nyerere. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao hapa Umoja wa Mataifa na wageni mbalimbali. Ni hafla iliyoambatana na uzinduzi wa kitabu kinachomhusu Baba wa Taifa, Kitabu hicho kiliandikwa kwa ufundi mkubwa na Profesa Ali Mazrui kwa kushirikiana...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBC

Top Kenyan academic Ali Mazrui dies

Renowned Kenyan academic Ali Mazrui dies in the United States aged 81 after being ill for several months.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani